Yatima wa Wenger trust the process.Sasa ww na kubahatisha kwako fainali ile unamtambia nani....unaona kabisa City walipigwa misumari....TAfuteni wachezaji wa kueleweka msimu ukifikia mwshoni msidandie basi la City kuanza kutuwangia tena maana ndo kazi mnayoiweza hyo🤠🤠
Yatima wa Wenger trust the processSasa ww na kubahatisha kwako fainali ile unamtambia nani....unaona kabisa City walipigwa misumari....TAfuteni wachezaji wa kueleweka msimu ukifikia mwshoni msidandie basi la City kuanza kutuwangia tena maana ndo kazi mnayoiweza hyo🤠🤠
Mwenzako hamtakiTunachukua wote mkuu
Lile bomu🤠🤠....yule style yake ya uchezaji inawafaa nyny....vuruguvurugu mbele kule na kusukumana na watu.....sisi huo mpira hatuna...hatufai
Hizi kondoo zinajua tu kufuga makalioView attachment 3006248
Aston villa ni kubwa kuliko nyie kenge
mkuu man city haiwezi kushuka leo wala kesho sema ile tu ya uhakika wa makombe itapungua kiasi , before pep kaja mancini, pellergrini wote wamebeba ndoo.Mkuu najua tutapoteana ...man city pep ataondoka na tunaweza kuwa tunakaaa misimu hadi misismu Bila makombe ...
Lakin kichapo na historia yetu hapo EPL itasemwa vizazi mpaka vizazi ,hata usiposema wewe watoto wako wataijuia man city Ni Nani ....
Kama ambavyo nyie mnasema mafanikio ya Arsenal ya 2003-2004 mpaka Leo ndio mnajivunia nayo ,na mnajitafita Kurudi kuwa vile ,na asilimia kubwa ndio yalifanya muwe mashabiki ........that is football
Kila MTU anajua
😂😂😂😂 yaani kila msimu kwao ni wao ikishafika game 38 unawaonea mpaka huruma.Nyie kila msimu unaokuja ndio msimu wenu, then mnaishia kuangukia pua, hat msimu w jana mlisema msimu huu ndio msimu wenu, yako wapi!!
Nyie ni nina? Nyie ni False hopers
Yule hapana....nimeshamuangalia sana uchezaji wake....ila Manunu atawafaa🤠🤠 na ile mipasi ya kubutua ya Bruno...kama nyny mkimpotezea....Mwenzako hamtaki
Jamaa mna roho ngumu sana, bado mnapata ubavu wa kubishana na mabingwa wa FA wakati mmetoka kapa!Yule hapana....nimeshamuangalia sana uchezaji wake....ila Manunu atawafaa🤠🤠 na ile mipasi ya kubutua ya Bruno...kama nyny mkimpotezea....
Ni kwli watani wetu....ila msimu ujao hatutaki ikifika January muanze kumtukana 10 hag tena...maana nyny hamna fadhila kabisa....mkifungwa mechi kumi tu mnaanza kutukana🤠🤠Jamaa mna roho ngumu sana, bado mnapata ubavu wa kubishana na mabingwa wa FA wakati mmetoka kapa!
Lengo kuu la kushiriki ligi ni makombe kwanza halafu sexy football baadae.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu arsenal2004 kwenye suala la kumtukana kocha kwa Man utd unatuonea, timu la matusi linajulikana na ushahidi upo mwingi sana wa kutosha.Ni kwli watani wetu....ila msimu ujao hatutaki ikifika January muanze kumtukana 10 hag tena...maana nyny hamna fadhila kabisa....mkifungwa mechi kumi tu mnaanza kutukana[emoji1783][emoji1783]
Msimu ujao ntaanza ku screenshot mitusi yenu...ipo mingi tu ila huwa tunaangalia tunaachana nayo....ila msimu uliopita kocha wenu katukanwa sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu arsenal2004 kwenye suala la kumtukana kocha kwa Man utd unatuonea, timu la matusi linajulikana na ushahidi upo mwingi sana wa kutosha. View attachment 3008348