Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Wazee wa fezi naona mpo.
Arsenal ibebe kombe la maana nyakat izi kwl?.. Na nyie mpo hapa mnaamin ilo?
Arsenal ibebe kombe la maana nyakat izi kwl?.. Na nyie mpo hapa mnaamin ilo?
Mkuu habr ya siku nakusalimia kiongoz.Haya masimango sio ya nchi hii🤠🤠...sina la kusema mkuu...wacha tupige kimya mpk msimu mpya
Nyie kila msimu unaokuja ndio msimu wenu, then mnaishia kuangukia pua, hat msimu w jana mlisema msimu huu ndio msimu wenu, yako wapi!!nani amekwambia huu ndo msimu wetu bora?
nyie mnaona huu ni msimu bora kwa gunners kwa sababu
kenge na ndugu zenu nyumbu tumewapiga!, ila sisi kama arsenal
tunasema hivi huu haukuwa msimu bora kwetu
msimu wetu bora utakuwa wa 2024/25
Haya masimango sio ya nchi hii...sina la kusema mkuu...wacha tupige kimya mpk msimu mpya


Mkuu nyinyi na boss wenu Masingeli mlitunanga vya kutosha humu, mkatusimanga sana kuhusu GD, mkatutambia Pressing & Overloading, positional interchange, aerial duel, pia mkatudanganya phase4 ndio phase yenu ya kubeba makombe pamoja na kudominate league miaka 10+ consecutively. 







Unamuulizia nani...Hamis 77 au😃😃Mkuu habr ya siku nakusalimia kiongoz.
Yule tapeli wenu mkuu yupo?.. Au ndo yupo black sites kajificha? Au kaja na id nyngne?
Na tutaendelea kuwananga msimu ujqo kama kawaida...sisi tumebeba sinia la ubwabwa na nyny mmebeba kombe la maji....walofanikiwa ni City tu hawa siwezi kuwagusa ila nyny ni takataka...ueropa mkifika robo mnapangiwa sevilla...shuguli inaishia hapo😀😀😀Mkuu nyinyi na boss wenu Masingeli mlitunanga vya kutosha humu, mkatusimanga sana kuhusu GD, mkatutambia Pressing & Overloading, positional interchange, aerial duel, pia mkatudanganya phase4 ndio phase yenu ya kubeba makombe pamoja na kudominate league miaka 10+ consecutively.
Sisi tuna GD -1 lakini tuna kombe mkononi, haya nyinyi wenye GD62 tuonesheni basi hizo GD zenu zimewapatia kombe gani msimu huu
Mimi ndio maana hua namkubali sana ndugu yangu HENRY14 jamaa anashabikia Arsenyau lakini nafsi yake ilishakubaliana na hali kua timu aliyoichagua ni Fungu la kukosa, ndio maana ligi ikianza mpaka ikiwa inaelekea tamani anakua humu anafurahia Teta ball burudani kwa wote, ikifika muda wa kupewa makombe tunakua nae kwenye jukwaa la Utd tukifurahia kwa pamoja kunyanyua kwapa
View attachment 3003464
Nipo poa boss. Namshukuru Mungu majukumu yamenibana kwa sana. Mpaka lately nafasi ya kuwapiga spana Manyumbu nakosaKiongoz naona upo.
Kwema?
Unaongelea Europa hata harufu ya kombe unaijua wewe kwel??😂😂😂Na tutaendelea kuwananga msimu ujqo kama kawaida...sisi tumebeba sinia la ubwabwa na nyny mmebeba kombe la maji....walofanikiwa ni City tu hawa siwezi kuwagusa ila nyny ni takataka...ueropa mkifika robo mnapangiwa sevilla...shuguli inaishia hapo😀😀😀
Na tutaendelea kuwananga msimu ujqo kama kawaida...sisi tumebeba sinia la ubwabwa na nyny mmebeba kombe la maji....walofanikiwa ni City tu hawa siwezi kuwagusa ila nyny ni takataka...ueropa mkifika robo mnapangiwa sevilla...shuguli inaishia hapo![]()


Lile Sinia la Maharage sio kombe, lile ni bonanza la ufunguzi wa ligi. 


Na msimu ujao sijui watachukua nini maana kwenye sinia hawapo tena😃😃😃Lile Sinia la Maharage sio kombe, lile ni bonanza la ufunguzi wa ligi.
Tafuteni kocha wa kueleweka ndugu zangu, kwa huyo Tetea wenu labda awatagie mayai tu ila mtamaliza mpaka phase10 bila ya kombe lolote la maana hapa duniani![]()
😵😵Lile Sinia la Maharage sio kombe, lile ni bonanza la ufunguzi wa ligi.
Tafuteni kocha wa kueleweka ndugu zangu, kwa huyo Tetea wenu labda awatagie mayai tu ila mtamaliza mpaka phase10 bila ya kombe lolote la maana hapa duniani![]()
Kwa hiyo Victor Osimhen mumemtelekeza. Yeye anawataka ninyiTunamsubiri sesko jukwaa lichangamke