Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi mkuu issue ya Zubimendi imekaaje? Summer uhakika?
cfbayern mwandishi wa habari za Bayern kutoka The BILD ,anayeaminika sana ,anasema Bayern wanamtaka Zubimendi ,na Arsenal anaongoza mbio zakumtaka ,

Martín #Zubimendi is an option for #FCBayern, even though #Arsenal are currently ahead. A lot of discussions are taking place, but a new player for the position is definitely expected to be signed in the summer.

[@altobelli13, @cfbayern]
Screenshot_20240213-143718.jpg
 
View attachment 2902749
Summer wanaondoka partey na elneny
Joginho nae anaweza kuondoka

Hilo gap la watu watatu, ndio inabidi waingie F. Dejong na Zubimendi

Advantage za kuwachukua hao wote tunazo,

F. Dejong ni shabiki wa Gunner anaepoteza muda catalunya

Zubimendi na Arteta Wana connection ya u-hispain
 
Ni hela nyingi..unless tufanye mauzo ya pesa nyingi na vilevile tupate mahela mengi huko UEFA...kumbuka summer pia anahitajika forward....nnachoona atanunuliwa kiungo mmoja na winger na forward...Partey na Elneny wanasepa ila Jorginho namuona akibaki...arteta anamkubali sana
 
Kama hawataki kutuletea mtu kazi Fofana...basi wakachukue hako kadachi FDJ ili Rice apige namba sita per se...natamani Forward awe Toney...na apatikane Winger upande wa Saka...yule Osimhen hamna kitu mule...vurugu nyingi bila akili
 
This is how it’s going to work:

If Arsenal pursues FDJ; Then Rice is going to be our long-term #6.

If Arsenal pursues Zubimendi; Then Rice is going to be our long-term #8 and situational #6.

I prefer Zubimendi over FDJ, to be honest.
Zubimendi nimemwangalia video za kutosha, jamaa anajua hasa kwenye passing na yupo flexible kimtindo. Uchezaji wake ananikumbusha Arteta

Kama Arteta atamchukua sina tatizo, kwanza nimejifunza kumwacha Kocha afanye KAZI yake.
Kwa maoni yangu ya kimtaanitaani nitafurahi tukimchukua Fofana, Ili awe anapokezana na Rice kwenye no 6, then huyo Zubimendi acheze lcm/rcm
 
Kama hawataki kutuletea mtu kazi Fofana...basi wakachukue hako kadachi FDJ ili Rice apige namba sita per se...natamani Forward awe Toney...na apatikane Winger upande wa Saka...yule Osimhen hamna kitu mule...vurugu nyingi bila akili
, kuna jamaa mmoja niliona twitt yake anasema ilo jamaa la Nigeria kila game kuanzia dakika ya 70, linakimbia kama chizi uwanjani
 
Chelsea asije akaingiza timu ile Emirates, tutampiga za West Ham.

Tukutane next week kwenye ligi ya mabingwa.
View attachment 2903134
Chelsea itabeba kombe la EPL kabla ya Arteta, huu ndio ukweli mchungu sana majirani zetu. Endeeleni kukata mauno na kusindikiza wanaume kwenye ubingwa kila msimu
 
Chelsea itabeba kombe la EPL kabla ya Arteta, huu ndio ukweli mchungu sana majirani zetu. Endeeleni kukata mauno na kusindikiza wanaume kwenye ubingwa kila msimu
Ahahah amka wewe.,,kwa matunguli mnayo cheza hata ueropa tu mtaisikia kwenye bombaa
 
Odegaard became the first Premier League player since records began in 2003/04 to complete 100+ passes (109), create at least five chances (7) and assist multiple goals (2) in the same game.

West Ham wametupa maneno ya kuongea mtaani mpaka Chelkenge na Manyumbu wanakosa usingizi. Kila wakija humu wanakutana na stats balaa.
 
FA wajinga sana. Yaani wanatuacha Arsenal mpaka leo hatujacheza mechi, huku watu wanakosa raha mtaani. Watuletee hata Real Madrid tuwachabange tuchangamshe damu watu mtaani waenjoy.
Madrid Jana bila kipa wao Lunin wangepigwa nyingi tu

Ndio maana namuomba Madrid sana ,

Yaan UCL wakumtoa mancity hazizid timu 2

Carragher anasema anaomba robo fainal tukutane na mancity sababu Arsenal ni Moja ya timu chache sana za kumtoa mancity

Yule Madrid wanaweza kumpiga nyingi
 
KWANINI ARTETA AMECHELEWA KUMTUMIA BEN WHITE KAMA INVERTED FB?

Mikel atakuwa anajuta Siku zote alikuwa wapi kumtumia Ben white kama Inverted FB upande wakulia,amemtumia hivo Zinny ,akamtumia Tierny akashindwa ,akamtumia Kiwior akashindwa

Lakin swali kwanini alikuwa hajafikiria kumtumia Ben white ambaye alikuwa Kiungo chini ya Biesla ?

Atakuwa anajuta kwanini alichelewa,kuna muda alimtumia Hadi Partey....

Uwezo wa Ben White kufanya kazi kama beki wa kulia anayeingia ndani kama Kiungo unampa Arteta chaguo zaidi kwenda mbele, huku pia ni kivutio kwa siku zijazo.

Mchezaji aliyesajiliwa majira ya kiangazi Jurrien Timber, ambaye amekuwa nje tangu Agosti kutokana na jeraha la goti, aliletwa kwa sababu anaweza kucheza kama beki wa pembeni. Lengo kuu ni kuifanya Arsenal isitabirike zaidi,maana timu nyingi zinajua Arsenal anamtumia Zincheko ku invert to midfield,hivo inakuwa rahis ku target huo upande ,mfano vs Liverpool walipomtumia Salah , lakini kitendo Cha kuwa na Ben white anayeweza ku invert kama Kiungo akitokea kulia , pia na Timber amayeweza kufanya hivo akitokea kulia na kushoto ,pia na Zincheko ambaye anafanya hiyo kazi akitokea kushoto ,kuna mpa Mikel Sasa machaguo mengi kutokana mpinzani amekujaje.

n timu zitashindwa kujua kama zitajenga mashambulizi kutoka kushoto au kulia.

Kumtumia White kwa namna hiyo dhidi ya West Ham pia kulimsaidia Kiwior. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Poland ni beki wa kati kwa asili na amekuwa na wakati mgumu alipoombwa acheze kama beki wa pembeni anayeingia kama Kiungo ,lakini uwepo wa Ben white ku invert to midfield,kunamfanya Kiwior abaki nyuma na amekuwa na kiwango kizuri .
20240214_161031.jpg
 
Back
Top Bottom