HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,643
- 7,073
Hawa man city. West ham hata hawajawakosea kwa lolot
Kwa bahati mbaya haikuwa
Kwa bahati mbaya haikuwa
Sema mmepambana sana mwananguHawa man city. West ham hata hawajawakosea kwa lolot
Kwa bahati mbaya haikuwa
Acha tupambane msimu ujao. Lazima liva au aseno tubebe.Sema mmepambana sana mwanangu
Nimeumia sana Aseno kupoteza ubingwa,
Ila ndio hivyo lazima tuwazomee.
Msenge huyuu.. Ina maana Hadi umri huo hajui mamaster Huwa wanafundisha Kila kitu isipokuwa mbinu Moja tu Ili siku ukimkoromea akurarue na hiyo usiyoijua?
False hopers mpo katika kilele cha furaha ya FALSE HOPE . Mnatamba wenyewe tu humu tutawaeleza nini wakati mnaongoza ligi 😂.
Lakini muda ndo umeanza kufika kuelewa ni kwanini mnaitwa False hopers.
10 games to go !!!!
Nilimiss sana jukwaa hili la vituko na kila aina ya hopes hatimaye nimerudi lakini sina cha kuongea maana mpo katika peak of false hopes nitaeleza nini mnielewe , siku zinavyokwenda tutapata cha kuwaeleza
Usimpe matumain hewa mama TrentAcha tupambane msimu ujao. Lazima liva au aseno tubebe.
Ukija huku wewe na Ramsadale tuu huna baya😃No way
Tule tu ugali wanetu
Naona aliona man u walifaidi kupigwa chuma 5, naye leo zimemkuta. 😂😂Unai Emery anawasalimia.
huu ushauri umfikie arteta next season jaribuni kutumia hii mbinu maana hizi za uwanjani zishashindikana nasema uongo false hopers ndugu zanguArsenal kubeba EPL labda kombe mliibe mkimbie nalo hakuna njia nyingine ya nyie kubeba EPL tofauti na hiyo ni kuliiba tu.
mkuu hizi false hopes utaacha lini?, kidogo ungeiweka liver tu inatosha unaiweka aseno tena 😆😆Acha tupambane msimu ujao. Lazima liva au aseno tubebe.
Hakuna. Mtashinda mechi zote ila ubingwa hamtabebaMfano ligi ingekua inaanza keshollllop kutwa ni timu gani ina uhakika wa kuifunga Arsenal?