Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,530
- 81,254
Gara kwa mfanoMfano ligi ingekua inaanza kesho kutwa ni timu gani ina uhakika wa kuifunga Arsenal?
Gara kwa mfanoMfano ligi ingekua inaanza kesho kutwa ni timu gani ina uhakika wa kuifunga Arsenal?
Bado haujasema, na utasema, yaani mpaka useme chawa Pro-Max wa Masingeli.We were good but city were good than us
Hujamuelewa. Sisi hatukutaka kushinda dhidi yake kwake. Tuliona hiyo nguvu bado hatuna na tutajichosha sana. Sisi tulitaka kushinda ligi na mbinu ya kushinda ligi ilihusisha kuamua kutojichosha na City. Acha tutoe nae sare huku tukiwapiga wengine. Akijitokeza wa kumpiga City, yote kheri.Rodri anasema nyie kenge hamna winning mentality. Mlienda Kwa city mkalazimisha sare halafu mkashangilia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yanadanganyana mno.Bado haujasema, na utasema, yaani mpaka useme chawa Pro-Max wa Masingeli. View attachment 2994814
Ni vema ukawa unamquote mtu ambae huwa unasoma soma coments zake,Kwani Havertz hatoshei?
Jesus na Mohamed je?
Yuko Trosard, Saka na Martinelli wote hawafai!
Partey najua kachoka huyo mumuuze Uarabuni tu
Jorgginho mtoto wa Sarri tulishamchosha sana
Kiungo na striker mtamuhitaji sana msimu ujao
Hao akina Jesus watawapotezea muda tu
Yani haka ka timu banah!! Hapa kilichofanyika ni kitu kimoja tu, Aston Villa ilimsaidia Man City kumaintain nafasi kwa kumnyuka Arsenal, hivyo Man City akaona isiwe issue sana dogo ngoja na mimi nikusaidie kumnyuka Tottenham ili uweze ku-maintain nafasi ya kucheza Champion League. So kila mmoja alifanya fadhira kwa mwenzake. Hivyo wana -Arsenal match ambayo ya kulaumu kabisaaaa ni ile ya Aston Villa basi, ndio iliyowanyima ubingwa.


Gwajo hapo Villa mnambebesha lawama za bure tu labda kama wewe ni mgeni kwa hizi Arsenyau, hizi Kima hata kama zingemfunga Villa mechi ya mwisho na Everton zingepigika, linapokuja suala la ubingwa hawa sio hata wa kuwachukulia dhamana, yaani Arsenyo ni kama tu pilipili hoho, linaweza kukutisha kwa ukubwa wake lakini kumbe hata haliwashi


Aston VillaMfano ligi ingekua inaanza kesho kutwa ni timu gani ina uhakika wa kuifunga Arsenal?
Ni vema ukawa unamquote mtu ambae huwa unasoma soma coments zake,
Haya maswali usingeniuliza.
Kwenye comments zangu za nyuma majibu yote utayapata hivi.
Havertz hakuna mchezaji mule.
Jesus ni bora sana uchawi ni majeruhi na kisha mwalimu kamvu ja moyo na benchi, huyu nahisi hali ikiwa hivi msimu ujao atatamani aondoke, huyu sio wa kukaa bemchi kisha kiazi kai akaanza.
Martinelli na saka nishazungumza mara kibao, ukiwapeleka Nottingham forest huenda wasiwe hawa tena, mfumo ama ubora wa timu umewasaidia, wanahitajika watu bora zaidi ya hawa, anachofanya saka hakitoshi, anapaswa kufanya alichofanya salah kwenye misimu kadhaa nyuma nae awekwe kwenye kundi la ubora. Kibaya zaidi naona kama pale ndio kamaliza gia zote, sijui kama anaweza kujionheza kiwango kuwa bora zaidi ya pale, akiweza ndio vizuri kwa arsenal, anahitajika Saka bora mara 2 ya huyu. Martinelli nae kadhalika ajiupdate.
Partey ni mzuri, shida ni gari la mkaa, trip shamba, trip gereji. Akiwa mzima ni bora mnoo, hivyo arsenal wanapaswa kutafuta mbadala wake.
Mwisho kabisa jesus kakosewa saana adabu, kukaa benchi kisha yule mpuuzi KAI kuwa anaanza.


Sasa mbona Masingeli alitudanganya humu kua Kai Harvez ni mchezaji mwenye DNA ya makombe, Masingeli alituambia Kai ndie mchezaji aliekua anaiweka Chelsea mabegani na kuifanya iwe inang'ara, Masingeli alituaminisha uwezo binafsi wa Kai ndio uliifanya chelsea kubeba makombe makubwa ya Uefa, FIFA club world cup pamoja na Super cup. 


Changanya akili za kuambiwa na za kwako.Sasa mbona Masingeli alitudanganya humu kua Kai Harvez ni mchezaji mwenye DNA ya makombe, Masingeli alituambia Kai ndie mchezaji aliekua anaiweka Chelsea mabegani na kuifanya iwe inang'ara, Masingeli alituaminisha uwezo binafsi wa Kai ndio uliifanya chelsea kubeba makombe makubwa ya Uefa, FIFA club world cup pamoja na Super cup.
Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi alituaminisha kua Kai ni mzuri kwenye aerial duel, Kai ni mnyumbulifu, Kai ni king of pressing Epl, akaenda mbali zaidi na kutuambia Kai Havertz has some similarities with RVP
View attachment 2994849
Humu ujinga mwingi kikundi cha hamasa hichi.


Mkuu Smith Rowe bora umejionea mwenyewe kwamba humu kumejaa false hopes tu, hamasa kibao ila in reality hamna kitu. Yaani huo muda wa miaka 20 ambao Arsenyetoz hawajabeba ubingwa wa Epl ,kuna jitu limezaliwa Lika pata barekhe na kuota vinyweleo na likaoa kabisaMiaka 20 Bila EPL Hivi hamuoni aibu


mtu yoyote mwenye namba ya ndugu yangu arsenal2004 tafadhali naomba ampigie simu na kumjulia hali yake pasi na kusahau kumpa maneno mawili matatu ya kumfariji, tokea nimepata taarifa za mashabiki wa Arsenyo huko Uganda kuanza kujitundika kwenye kamba sina raha kwa kweli.Usikute Hamis Masingeli washatandika matanga huko Mkuranga tayari , maana hawa arsenane akili zao huwa zipo kwenye kitanzi na sumu ya panyaUganda tayari Arsenali kajinyonga. Hii ni matokeo ya kudanganyana humu ndani.




