Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,316
- 3,947
Week nzima nitakuwa tunatoa false hopes moja moja wanetu mpaka ligi ianze tena then mwishoni kama kawaida yetu tunarudi kuwaonyesha false hopes zenu.
🧵 Toka hii thread ianzishwe Arsenal haijawahii kubeba ubingwa hakuna tofauti na thread yetu ya Brighton 😆
🧵 Dogo wa form one 2020 kaamua kushabikia mpira as man city fans tayari ana makombe 4 as fan , njoo kwa mwanangu arsenal 2004, henry na mkorea wameanza kushabikia mpira before 1999 wana makombe 3😂😂😂 huyu dogo kifupi kwenye ubishi wa mpira anawatoa kapa hawa wazee na ndevu zao tena anaweza akawa anawaona kama wamechanganyikiwa .
🧵 Dogo wa form one 2020 ki hesabu wengi wamezaliwa 2008/2009 yaani tukichukulia tangu kazaliwa tayari kashabikia makombe 4 lakini kina pastor mackenzie na wafuasi wake wana 0 trophy toka dogo yupo tumboni 😂😂. Yaani huyu dogo akikaa na kina castr anamuona kimpira castr ni dogo tu kwake ukiachilia ndevu 😂😂