Arsenyetoz kama wameshindwa kubeba Epl msimu huu , watabeba vibuyu vya ulanzi tu .Moment mnafungwa na Aston villa it was already over for this season ndio maana hata hamiss 77 alitimka hakutaka kuja kukaa humu na fake hopes
Mwakani mkirekebisha namna yakumalizia ligi mnalibeba hilo kombe kumbuka rome wasn't built in one day
The season before mliboronga almost 3-4 gap yenu na city ikapungua wakawapokonya tonge mdomoni... this season ni mechi moja tu ya Villa ndio ikaharibu kila kitu
Next year your the champions mnaimarika taratibu
Arsenyetoz huwa tunawaambia kubeba makombe ni tabia na utamaduni .Moment mnafungwa na Aston villa it was already over for this season ndio maana hata hamiss 77 alitimka hakutaka kuja kukaa humu na fake hopes
Mwakani mkirekebisha namna yakumalizia ligi mnalibeba hilo kombe kumbuka rome wasn't built in one day
The season before mliboronga almost 3-4 gap yenu na city ikapungua wakawapokonya tonge mdomoni... this season ni mechi moja tu ya Villa ndio ikaharibu kila kitu
Next year your the champions mnaimarika taratibu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Arsenyaufezi 5
We jamaa utaniua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani Asrenyau walitaka kupewa ubingwa na huyu dogo teja anayeitwa Havertz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ndio Raha ya kubetia timu professional! Straight win...unaendelea na shughuli zako!
Hata zikibaki sekunde 5!... Zinatosha kabisa kutoa matokeo!
Bigup arsenalion!!!
Kwa bahati mbaya haikuwa