Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,147
- 16,999
Haaahahhhaah
Tumekusikia....karibu j2 pale Emirates tushangilie ubingwa pamoja🤠🤠🤠
😭😭No one expected Fulham to pose any challenge against City. Our hope is on Spurs
We jamaa ni fala tabaka la juu kabisa. Mwenye mentality ya ubingwa ni Klopp au sio?
Ambaye since 2015 mpaka sasa, msimu wa 9 ana EPL moja.
Klopp akiwa Liverpool
2015/16 Hola
16/17 Hola
17/18 Hola
18/19 Hola
19/20 Ndo hapa kapata kombe la Corona
20/21 Hola
21/22 Hola
22/23 Hola
23/24 Hola
Huyu Klopp, wakati anakuja Liverpool ilibidi asubiri miaka minne ndo apate kombe lake la kwanza la ligi. Baada ya hapo kaendelea kusugua. Na wengi wa mashabiki wa Liver mliufyata kimya.
Klopp anakuja Liverpool akiwa ni kocha mzoefu kabisa, kashacheza mpaka fainali ya UCL.
Miaka 9, EPL moja
Sasa ukute jamaa wanavyomsifia Klopp utasema anawapa ubingwa kila mwaka 😂😂
Hii kubwa sanaUshindwe kubeba ubingwa na van persie uje uchukue na maflop ya man city😂😂😂😂😂😂
ile game arsesananal a mwisho kufungwa imewacost sana, poleni sana
sana. kwa ufupi kushindana na Pep inabidi kila mechi iwe kama fainali.ile game arsenal a mwisho kufungwa imewacost sana, poleni sana
Hahahahaha.Hii kubwa sana
Benchi una Nketiah😂
Leo tuko pale kwenye matofali dhidi ya mijusi milia wa NewcastleArsenal FC
20 years without a title (21 🔜)
32 years without Carabao Cup
0 UCLs
0 Europas
0 Super cups
0 Club World Cup
In 138 years
Never defended a prem title
The fanbase has the audacity of Real Madrid but in reality they’re closer to Blackburn.
Unataka EPL halafu una mchezaji anaitwa Nelson.Hii kubwa sana
Benchi una Nketiah😂
Ni ngumu ila tunatakiwa kujitahidi.Unadhani kila msimu utachallenge hivi hivi enh? Ngoja uone.
Tuendelee tu kushabikia mpira mzuriNa sub ya Nketiah ni ya kwenda kutema mate ovyo uwanjani
😂😂😂Msimu ujao utakuwa na kazi kwel kwel... Niamini mimi MkuuHahahahaha.
Haya mambo madogo madogo tutarekebisha. Tutaleta striker wa kiwango msimu ujao
Ni shida 😀😀Unataka EPL halafu una mchezaji anaitwa Nelson.
Ana medal ya Uefa yule Kama Club yako mafanikio yake makubwa kubeba medal ya mshindi wa pili UefaWakuu usiku mwema... binafsi ndio nimehitimisha rasimi kuangalia mechi za EPL usiku huu kwa msimu huu. Nafikiri tukutane tena msimu ujao kunako majaliwa.
Ila yule mkorea akili hana hata kidogo, na kwa zile papara para zake ndio maana mpaka leo hii hana hata medali ya kikombe cha uji.... mshenzi sana yule ameikosesha dunia furaha

Ujinga wenu wa kupoteza gemu na villaWakuu usiku mwema... binafsi ndio nimehitimisha rasimi kuangalia mechi za EPL usiku huu kwa msimu huu. Nafikiri tukutane tena msimu ujao kunako majaliwa.
Ila yule mkorea akili hana hata kidogo, na kwa zile papara para zake ndio maana mpaka leo hii hana hata medali ya kikombe cha uji.... mshenzi sana yule ameikosesha dunia furaha