Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,231
- 76,752
Mchezaji akitoka Ajax ligi ambayo dominant ni Ajax, Feyenoord na zingine mbili uwezekano wa kupigwa ni mkubwa.ARSENAL ina timu Nzuri sana ila haina WACHEZAJI wengi wazuri sana. Castr ARSENAL ilimuhitaji Mudryk ila ikaishia Mpata TROSSARD, Hajawa chaguo Baya na amekuwa na Mchango Mkubwa ila kama ARTETA angempata MUDRYK Yule Bwana angekuwa anaimbwa.
KUDUS ilikuwa Chaguo la kwanza kwa ARTETA. Stori yake ingefanana na MARTINELI. Leo hii MARTINELI anapambania Nafasi, SAKA amekuwa kama ana kura Turufu sababu hana Mpinzani wa kueleweka kwenye Nafasi yake.
Kama KUDUS angeenda ARSENAL angefanya Makubwa. AJAX wanacheza mpira wa kumiliki kwa hiyo isingempa Changamoto ARSENAL, Hapa ni kumpongeza namna ameweza ingia Poa timu inacheza tofauti kabisa na Alipotoka.
Antony na Malacia ni mfano wa haraka kwa nyinyi United.
Nionyeshe wachezaji wabaya wa Arsenal ambao kwa Arsenal ni starters na unaamini hawana mchango wowote