Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

N

Na kwa man city hii, tusitegemee kupata ubingw kwa makosa ya mpinzani bali kwa ubora wetu, game za kipuuzi, hizi na aston villa, 2-2 vs chelsea, game na westham, kuna fulham, Tottenham ile game ya kwanza, ndio zimetuangusha saana,...
Ni sahihi kuna game kila ukizifikiria unatamani ufukuze timu yote.

Ila ninaimani lolote linatokea, jambo jema tumeupeleka ubingwa hadi game ya mwisho. Na pengine tukaenda hadi dakika za nyongeza hiyo siku ya j2.
 
We jamaa ni fala tabaka la juu kabisa. Mwenye mentality ya ubingwa ni Klopp au sio?
Ambaye since 2015 mpaka sasa, msimu wa 9 ana EPL moja.

Klopp akiwa Liverpool

2015/16 Hola
16/17 Hola
17/18 Hola
18/19 Hola
19/20 Ndo hapa kapata kombe la Corona
20/21 Hola
21/22 Hola
22/23 Hola
23/24 Hola

Huyu Klopp, wakati anakuja Liverpool ilibidi asubiri miaka minne ndo apate kombe lake la kwanza la ligi. Baada ya hapo kaendelea kusugua. Na wengi wa mashabiki wa Liver mliufyata kimya.

Klopp anakuja Liverpool akiwa ni kocha mzoefu kabisa, kashacheza mpaka fainali ya UCL.

Miaka 9, EPL moja
Sasa ukute jamaa wanavyomsifia Klopp utasema anawapa ubingwa kila mwaka 😂😂
 
Wanacheza vizuri hawaachi gaps . 115fc kawaachia mpira anasubiri wakosee kuna muda walionyesha wanakosea ila kipindi cha kwanza bahati imekua upande wao.
 
Wanacheza vizuri hawaachi gaps . 115fc kawaachia mpira anasubiri wakosee kuna muda walionyesha wanakosea ila kipindi cha kwanza bahati imekua upande wao.
Gaps kubwa sana pembeni, haswa upande wa kulia ambapo Kyle maspidi ya duma Walker anajiachia tu. Hawa wataadhibiwa muda si mrefu.
 
Wana wachezaji gani wa kumzuia Aston Vill

Unaweza kukuta hyu anayejiita ImMrLiverpool ni kijana wa miaka 19 anayejifunza uchawi akiwa bdo kijana mdogo sana🤠🤠...na leo ndo atalia kabisa baada ya Spurs kupata Draw dhidi ya City
🤣🤣🤣🤣🤣 Una Halland, Rodri, Kdb, Foden eti utoe sare na spazi
 
Back
Top Bottom