Wenger orphans nyie mutabeba vikombe vya uji
N
Na kwa man city hii, tusitegemee kupata ubingw kwa makosa ya mpinzani bali kwa ubora wetu, game za kipuuzi, hizi na aston villa, 2-2 vs chelsea, game na westham, kuna fulham, Tottenham ile game ya kwanza, ndio zimetuangusha saana,...
Kwamba kutoa draw na Chelsea ile mechi ya kwanza uliona ni kitu rahisi sio , hivi uliangalia hiyo game mlivyokuwa mmekaangwa ?
Kama kuna watu ambao wanatakiwa wawe watu wa mwisho kabisa kuikejeli au kuisema vibali Arsenal basi ni nyie Cheltako.... yaani nyie hata New Castle wanaoenekana wana brighter future kuliko timu yenu..
Misimu ukianza jaribu kuangalia predictions za Opta Supercomputer kati yenu na new castle ni nani mwenye probability kubwa ya kuchukua ubingwa, kama hujakuta NWU wamepewa 3% wakati huo nyie mna 0.01%. Cheltako ni club ambayo imejifia na haijulikani itafufuka lini
Wewe kalia hayo masupakompyuta yako kila msimu ni kula vitasa , mnamaliza trophyless hayo makompyuta na predictions zenu hewa hizo zinawasaidia nini ?
Kama kila msimu ni trophyless , Mnakula vitasa tu , na hapo mnajiona mpo kwenye form .
Sisi hatupo kwenye form kwa msimu huu na sababu inajulikana ni kuuzwa kwa timu na kufumuliwa kwa mfumo mzima wa uongozi na hata key players baadhi kuondoka + injuries nyingi zilizotuandama msimu huu na maingizo mapya ya usajili hasa vijana wadogo na wengine ambao ni wageni wa ligi ya Epl .
Si ajabu kushangaa Chelsea kuwa nafasi hii tulipo .
Unatakiwa utoe judgement yako kuanzia msimu unaokuja , pamoja na hayo yote tumejikongoja na kufika final ya carabao na semi final ya FA msimu huu pamoja na kuwa na hopeless form mbaya kwa miaka ya hivi karibuni .
mark hii comment Chelsea msimu ujao inaweza beba kikombe iwe FA ,carabao nk, ila ninyi mtabeba kibuyu cha ulanzi yaani ,kama kawaida yenu .
Arsenyetoz ni spurs pro max aka super bottlers , Yaani maajabu Arsenyetoz kumtegemea bottlers spurs awape ubingwa mbele ya city .
Hii inaonyesha jinsi mlivyo hopeless kabisa
Hii ni fedheha kubwa