Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Xhaka kashacheza LB

Fabio akiwa liva kashaceza CB.

Kimmich kacheza CB.

Alaba anafika Bayern ni DM ila akawekwa CB.

Kama hauelewi maana ya DM ni Defensive Midfielder means anajua kila kitu kwenye standing tackles, interceptions, ball carrying, sliding tackles n.k.

Ikatokea huna beki the next option unayokua nayo ni DM. Timu nyingi zimechezesha DMs kama mabeki nyumbu hua nasema hawajui mpira so kwao wanahisi ni jambo la ajabu.

Kuna beki wanachezea mpira vizuri mpaka wanapelekwa kua viungo mfano Kimmich, Alaba na kuna kipindi mashabiki wa liva walisuggest Trent awekwe kama CM. Ni sawa na sisi tulivyotamani White apelekwe Midfield.

Muwe mnaelewa kwanini kwangu ni ngumu kuongea mpira na mashabiki wa kenge na nyumbu
Nimewashangaa sana mashabiki wa matofalini kuona ni kitu cha kuongelea sana Casemiro kucheza CB mpaka kutubeza kwa ishindi mwembamba tuliopata na wakati ni kitu ambacho siku zote kinatarajiwa pale timu inapokuwa ina crisis kwenye backline yake.

Tuliwahi kuona Henderson akicheza CB karibu msimu mzima kipindi Liverpool wamekosa VVD, hata juzi hapa tumeona Real madrid wakimtumia Tchoumen baada ya kuwakosa Alaba na Miltao kwa kipindi kirefu.

Yaani sijui kwanini hata wanataka lionekane ni suala la ajabu.... hii inaonesha ni jinsi gani wasivyowaamini wachezaji wao na wasipopoteza mechi kwa scoreline kubwa hasa kwa timu tishio kwao ni mafanikio.

Pathetic fanbase indeed
 
Mfano kati ya beki wanne unao watatu kama wewe ni kocha kwanini hauchezi back 3?

Hua nasema kama timu beki mbovu basi hizo forwards zitengeneze chances na kuonyesha ni threat kwa defence pinzani.

Mpira siyo uchawi hauchezwi gizani kila mtu anaona, kama forwards zako ni upuuzi dunia nzima inaona. Kama beki ni upuuzi dunia nzima inaona.

Fools are hating but what can we do? Wanachukia sisi kufunga set pieces nyingin, wanachukia points tulizonazo na hawawezi kuzifikia, wanachukia threads zao hakuna anayeenda.
Hao hao manyumbu wanakuja kucheka cheka na kutuuliza kwa nini tumewafunga moja tu na timu yao ile.

Hawajui sisi tunawaza mbali.

Hawajui sisi tunafanya hivi kwa maslahi ya wengine.

Hawajui kwamba sisi tunajua ng'ombe wa maziwa hachinjwi.

Uwezo wa kuwapiga hata kumi ulikuwepo, ila kwa nini tumfukuzishe kazi Ten Hag? Timu yenye uhakika wa kukupa points 6 kwa msimu, na kuchangia points kwa timu ndogo, kwa nini uifukuzishie kocha wao? Msimu ujao je? Si bado tunataka points 6?

Sasa tuone kama Newcastle hawataweka tamaa na uroho mbele.
 
Mfano kati ya beki wanne unao watatu kama wewe ni kocha kwanini hauchezi back 3?

Hua nasema kama timu beki mbovu basi hizo forwards zitengeneze chances na kuonyesha ni threat kwa defence pinzani.

Mpira siyo uchawi hauchezwi gizani kila mtu anaona, kama forwards zako ni upuuzi dunia nzima inaona. Kama beki ni upuuzi dunia nzima inaona.

Fools are hating but what can we do? Wanachukia sisi kufunga set pieces nyingin, wanachukia points tulizonazo na hawawezi kuzifikia, wanachukia threads zao hakuna anayeenda.
Wewe unachojua ni kupiga mdomo tu maana sidhani kama umewai fundisha timu yoyote ya mpira hapa unataka kusema wewe ni bora kuliko benchi nzima la Manchester United.
Xhaka kashacheza LB

Fabio akiwa liva kashaceza CB.

Kimmich kacheza CB.

Alaba anafika Bayern ni DM ila akawekwa CB.

Kama hauelewi maana ya DM ni Defensive Midfielder means anajua kila kitu kwenye standing tackles, interceptions, ball carrying, sliding tackles n.k.

Ikatokea huna beki the next option unayokua nayo ni DM. Timu nyingi zimechezesha DMs kama mabeki nyumbu hua nasema hawajui mpira so kwao wanahisi ni jambo la ajabu.

Kuna beki wanachezea mpira vizuri mpaka wanapelekwa kua viungo mfano Kimmich, Alaba na kuna kipindi mashabiki wa liva walisuggest Trent awekwe kama CM. Ni sawa na sisi tulivyotamani White apelekwe Midfield.

Muwe mnaelewa kwanini kwangu ni ngumu kuongea mpira na mashabiki wa kenge na nyumbu
 
Wewe unachojua ni kupiga mdomo tu maana sidhani kama umewai fundisha timu yoyote ya mpira hapa unataka kusema wewe ni bora kuliko benchi nzima la Manchester United.
Ally tumia akili usiniquote ili unijibu.

Nimesema kwamba kocha wenu alichofanya ndicho makocha wote wanafanya ila mashabiki mnaandika kama vile hilo ni jambo geni.

Na kuhusu kufundisha timu nishafundisha na sasa hivi nafundisha pia. Tarehe 18 kuna bonanza uwanja wa Hekima njoo
 
Vivianne Miedema amemaliza mkataba wake na Arsenal Women na ataondoka mwisho wa msimu huu. Injuries zimemzuia huyu dada kufikia 'Absolute GOAT status' aisee.
 
Unaweza kukuta hyu anayejiita ImMrLiverpool ni kijana wa miaka 19 anayejifunza uchawi akiwa bdo kijana mdogo sana🤠🤠...na leo ndo atalia kabisa baada ya Spurs kupata Draw dhidi ya City
The only way Spurs anaweza kwenda CL ni ikiwa atamfunga City tu na si kingine.

Wachezaji wanalipwa bonus wakifuzu. Timu inagewa mamilioni ikifuzu. Kila hatua unayosogea mbele ni hundi mpya inaingia.

Unakua umeshika mpini hata ukitaka kusajili wachezaji, siyo hadi utoe hela nyingi kama vile hauna akili sawa.

Levy kwa ubahili wake siku aje kujua wachezaji walihujumu gemu kisa upinzani atamnyonya mtu ubongo. Haya mambo ya bora tufungwe ili Arsenal asichukue kombe ni ya mashabiki tu.

Hapo hapo McGinn wa Villa anakuambia anatamani 115fc washinde kwakua inawapa uhakika kwenda CL. Kwa wao wengine kwenda huko ni ndoto wanayotamani iwe kweli. So leo yeye anashabikia City
 
Ili mchukue ubingwa mnahitaji kocha wa kueleweka mwenye mentality za ki utu uzima sio premature kama Arteta.
Tafuteni Attacking mid wa maana Odegaard anachangamsha kijiji tu.
Saka sio mchezaji wa kuwapa kombe la maana huyu anatakiwa kuwa bench warmer. Kwa kifupi nyie kenge mna world class mmoja tu Declan Rice wengine wote ni magarasa
Wewe ni miongozi mwa UPINDE mliojificha JF
 
Ally tumia akili usiniquote ili unijibu.

Nimesema kwamba kocha wenu alichofanya ndicho makocha wote wanafanya ila mashabiki mnaandika kama vile hilo ni jambo geni.

Na kuhusu kufundisha timu nishafundisha na sasa hivi nafundisha pia. Tarehe 18 kuna bonanza uwanja wa Hekima njoo
pamoja na yote Wenger orphans kitu mtachobeba msimu huu ni hii tu🤣🤣
IMG-20230521-WA0024.jpg
 
Back
Top Bottom