Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 722
- 768
Pep.hanaga ujinga na game za mwisho subirini mje muone wagonga nyundo wenu watanavyo gongeshwa.
Unadhani kila msimu utachallenge hivi hivi enh? Ngoja uone.Raha ya hii ligi, unachekwa na mtu aliye nafasi ya 8, huku wewe unapambania ubingwa![]()
Ni dunia gan unaiongeleaWakuu usiku mwema... binafsi ndio nimehitimisha rasimi kuangalia mechi za EPL usiku huu kwa msimu huu. Nafikiri tukutane tena msimu ujao kunako majaliwa.
Ila yule mkorea akili hana hata kidogo, na kwa zile papara para zake ndio maana mpaka leo hii hana hata medali ya kikombe cha uji.... mshenzi sana yule ameikosesha dunia furaha
Huyo jamaa ana kombe la mabingwa bara la asia, tena alichukua akiwa captainWakuu usiku mwema... binafsi ndio nimehitimisha rasimi kuangalia mechi za EPL usiku huu kwa msimu huu. Nafikiri tukutane tena msimu ujao kunako majaliwa.
Ila yule mkorea akili hana hata kidogo, na kwa zile papara para zake ndio maana mpaka leo hii hana hata medali ya kikombe cha uji.... mshenzi sana yule ameikosesha dunia furaha
Daaaaah😂😂😂😂😂Wakuu usiku mwema... binafsi ndio nimehitimisha rasimi kuangalia mechi za EPL usiku huu kwa msimu huu. Nafikiri tukutane tena msimu ujao kunako majaliwa.
Ila yule mkorea akili hana hata kidogo, na kwa zile papara para zake ndio maana mpaka leo hii hana hata medali ya kikombe cha uji.... mshenzi sana yule ameikosesha dunia furaha
Ubingwa gani mnaopambania?? halafu mkiitwa false hopers mnakataa.Raha ya hii ligi, unachekwa na mtu aliye nafasi ya 8, huku wewe unapambania ubingwa 😄😄
Acha utani mkuu ubingwa gani unaoupambania?Raha ya hii ligi, unachekwa na mtu aliye nafasi ya 8, huku wewe unapambania ubingwa 😄😄
Tumekusikia....karibu j2 pale Emirates tushangilie ubingwa pamoja🤠🤠🤠