Wakuu
Flano na
allypipi heshima zenu
Kwaniaba ya wadau wa Jukwaa hili, tunawashukuru sana Kwa kuwa nasi kwenye vipindi vyote tulivyopitia hadi leo kucheza mechi yetu ya 37 huku tukijikusanyia alama 86.
Hizi ni alama nyingi uki-compare na alama 84 tulizokusanya Mwaka Jana
Kama Mungu akipenda tunaweza kuchukua Ubingwa Mwaka huu iwapo mpinzani wetu Man City atapoteza Kwa Spurs Jumanne.
Arteta ameonesha anakitu, hivyo iwapo ataendelea kuaminiwa na kupewa muda zaidi huenda akaja kutupatia Ubingwa Siku za hivi karibuni.
Endeleeni kutuombea ndoto yetu itimie
Iwapo tutafanikiwa kushinda Ubingwa nawahaidi kuwapatia Vocha za 10k Kila mmoja katika kusherehekea Ubingwa
COYGs


