Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Willian anachowafanyia wenzake ndiyo kilisababisha nisimkubali Arsenal
 
Heavily reliant on long balls na hakuna wa kuipiga vizuri wala wa kuikimbilia
 
City ni rahisi kupoteza game ligi ikiwa inaanza ila sio kipindi kama hiki, sisi liver tulishawahi mfukuza hadi tunafikisha points 90+ lakini bado ndoo hatukubeba
City hafai. Tulifanya makosa last season ambayo tulirekebisha this season, ila tukaharibu tena kwa Aston Villa. City hawezi kukuhurumia kabisa ukikosea hivyo.
 
Kaka you simply meant tumeshindwa fanyia kazi makosa ya msimu uliopita na huo ndiyo ukweli
Not exactly.
Last season ni kama tuli implode mwishoni. This season tuli implode katikati, halafu tukaibuka tena na so far tumepambana mpaka hizi mechi za mwishoni unaona bado tunapambania kombe. Tungeshinda game ya Aston Villa tungekuwa tunaongea mambo mengine. Ni dalili kuwa kuna ka hatua kadogo tumepiga.
 
City anacheza na Fulham, Westham na spurs.

Antonio alisema wao ndiyo wataamua mshindi wa ligi kwakua wanataka ushindi pia ili waende Europe. Shida ni kwamba wametoka kupigwa 5 na kenge hii inawapa ugumu kwenye hizo ndoto zao.

Spurs imetoka kupigwa 4 kwa 2 na magoli yote yameonyesha lack of defensive awareness na wachezaji muda wote wameswitch kua kwenye transition mode kiasi kwamba wanakosa umakini.

Fulham kihistoria hua hasumbukii ushindi akishaona ana points za kumbakisha ligi kuu. Na anazo 44. Huyu atacheza kwa kurelax no wonder akapigwa vizuri tu kwakua lengo lake ni kubaki ligi kuu na limetimia.

City anataka kupunguza GD amebadili hadi formation kwaajili ya hili. Amekua anashambulia sana kwa kipindi hichi.
Hii inaweza pia kufanya waingie kwenye style ya spurs kwakua timu inayoshambulia sana transition na highline pressing vinaweza kumbeba mpinzani.

Kuna jamaa anauliza sa tufanyeje ili tushinde ligi. For starters how about winning necessary games? Unafungwa na Villa, Westham, Newcastle games ambazo ulitakiwa kushinda no way utakua bingwa kwa ligi ya sasa.

Ambacho nitaona sawa ni ikiwa tutashinda mechi zetu zote zilizobaki. Ili hata citeh akichukua nitasema tulipigana mpaka mwisho.
Reference hii hapa
 
Maskini ya Mungu Wenger orphans wana toka bila bila tena msimu huu.

Kitu usichokijua ukiona tu hamis77 amekimbia jukwaa ujue shughuli yenu imeisha lijamaa lina nusa kweli kweli.
1690075553112.jpg
 
Back
Top Bottom