ARSENAL ni TIMU NZURI SANA ila haina Wachezaji Wengi wazuri sana. Mchango wa Mchezaji ndo Unapelekea kutengeneza timu Nzuri! Unaona kikosi cha ARTETA Ni wachache sana wanaweza kuwa STARTERS katika timu zao za TAIFA hasa Mataifa makubwa Kisoka.
Nadhani umemaanisha Ligi ya Uholanzi, UTD & ARSENAL Ni wanufaika wakubwa toka Hii ligi. Mchezaji kupigwa ni Suala la Mifumuko ya Bei na Kukosa watu Makini wa Mpira.
Hoja ni KUDUS, Kama ARSENAL Ingempata Hali ya SAKA Ingekuwa kama Martinelli na Trossard. Wachezaji wa Kiingereza wako na Tabia ya Kujisikia wasipopata Ushindani na SAKA + PALMER wameshaingia kwenye kundi hilo.