HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,676
- 7,135
Na bado kuna watu wataleta vitakwimu vya ufungaji wa vichezaji vyao humu. Tunahitaji striker katili ila zaidi tunahitaji mfumo huu uliopo uimarike na udumu.Yaan hii Arsenal pamoja na kuwa ndo timu ilofunga magoli mengi zaidi lakini haijaweka top scorer 4 ktk ligi. What a team work. 💪🏼