Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kadake wewe sasa
Sio kweli. Nikiingia kwenye PC nitakuletea video footage akiwagonga makipa kabisa na refa wala VAR hawasemi lolote na ushindi mwingi mmeshinda kwa njia hiyo na ndio maana mko juu kwenye magoli ya set-pieces
 
Tena kama kile ki Cucurella chepesi unaweza kukibeba ukakitundika kwny Mwamba wa juu wa goli kabisa
Set piece ambayo mchezaji anaweza kumsogelea kipa bila kua offside ni kona tu.

So katika magoli 23+ ya set pieces ya Arsenal kona ni ngapi? Free kicks ngapi?

Kuna mechi ya Arsenal ilikua ni kona Ramsdale alitokea mchezaji wa timu pinzani akasimama mbele ya Ramsdale kipa akashindwa kuufikia mpira ile kona ikaingia moja kwa moja.
Ikifika muda wa kureturn favour itakua kichekesho tukiwaangalia usoni.

White ataendelea kuwavua gloves makipa, ataendelea kumsukuma Cucurella kila wakikutana.
TAfuteni mabeki wa kueleweka siku hyo...lawama hatutaki
Hawa wakora walianza kuwaza kwamba tutawafanyia hii kitu mwishon mwa msimu Wenger orphans mlikuwa na matumaini makubwa kuwa mpaka mnacheza na sisi man u mtakuwa mshanyanyua kwapa🤣🤣🤣

Muulizeni shoga yenu Liverpool alimaliza ligi kafungwa game 1 tu na point 97 na ubingwa akubeba.

Kilicho baki sisi vijana wa Bwenyenye Sir Jim ni kupigilia msumali wa mwisho siku ya Jumapili.

Mungu awezi ruhusu ili litokee kabisa sisi kuwapigia nyie makofi Mungu wetu sio mkatili ivyo.
View attachment 2981381
 
Mwendo ni ule ule.

Kocha anayeonekana atafanya vizuri akifika cha kwanza ni kufananishwa na Arteta, akitoka hapo watamuuliza falsafa za mpira na masifa mengine mengine.

Mwezi mbele atakimbiwa.

Ilikua hivyo kwa Lampard, Ole, De Zerbi, Erik Kichwa Ngumu, Chuck Norris na ikafika kwa Ange.

Sasa hivi Ange wanamlaumu highline defending ambayo walimpongeza nayo ilipompa suluhu dhidi ya Arsenal. Juzi Ange anakuambia yeye kazoea kushinda, yupo radhi ajenge timu ila huku anashinda.

Sasa leo akipoteza ni game ya nne mfululizo
 
Mwendo ni ule ule.

Kocha anayeonekana atafanya vizuri akifika cha kwanza ni kufananishwa na Arteta, akitoka hapo watamuuliza falsafa za mpira na masifa mengine mengine.

Mwezi mbele atakimbiwa.

Ilikua hivyo kwa Lampard, Ole, De Zerbi, Erik Kichwa Ngumu, Chuck Norris na ikafika kwa Ange.

Sasa hivi Ange wanamlaumu highline defending ambayo walimpongeza nayo ilipompa suluhu dhidi ya Arsenal. Juzi Ange anakuambia yeye kazoea kushinda, yupo radhi ajenge timu ila huku anashinda.

Sasa leo akipoteza ni game ya nne mfululizo
Tottenham ni washenzi sana...Aston Villa aharibu mechi ngapi Ili yy aweze ku take advantage....angepata hata Draw mechi hzi mbili za Chelsea na Liverkuku angekuwa kwny nafasi nzuri kuelekea kumaliza msimu....maana angekuwa kapitwa point 5 na ana game moja mkononi...lakini wapi...Spurs will always be Spurs....Hawa Kumsimamisha City hawawezi kwa style Yao hii ya high line pressing....haibadiliki mishenzi hii
 
City anacheza na Fulham, Westham na spurs.

Antonio alisema wao ndiyo wataamua mshindi wa ligi kwakua wanataka ushindi pia ili waende Europe. Shida ni kwamba wametoka kupigwa 5 na kenge hii inawapa ugumu kwenye hizo ndoto zao.

Spurs imetoka kupigwa 4 kwa 2 na magoli yote yameonyesha lack of defensive awareness na wachezaji muda wote wameswitch kua kwenye transition mode kiasi kwamba wanakosa umakini.

Fulham kihistoria hua hasumbukii ushindi akishaona ana points za kumbakisha ligi kuu. Na anazo 44. Huyu atacheza kwa kurelax no wonder akapigwa vizuri tu kwakua lengo lake ni kubaki ligi kuu na limetimia.

City anataka kupunguza GD amebadili hadi formation kwaajili ya hili. Amekua anashambulia sana kwa kipindi hichi.
Hii inaweza pia kufanya waingie kwenye style ya spurs kwakua timu inayoshambulia sana transition na highline pressing vinaweza kumbeba mpinzani.

Kuna jamaa anauliza sa tufanyeje ili tushinde ligi. For starters how about winning necessary games? Unafungwa na Villa, Westham, Newcastle games ambazo ulitakiwa kushinda no way utakua bingwa kwa ligi ya sasa.

Ambacho nitaona sawa ni ikiwa tutashinda mechi zetu zote zilizobaki. Ili hata citeh akichukua nitasema tulipigana mpaka mwisho.
 
Huu wimbo ipo siku utaishia tu...ni suala la muda...leo jitahidini mshindwe vngnevyo mtamaliza ligi kwa aibu...mkitoka na sisi j2 mnamaliza na Brighton....tunakumbushana tu
Nottingham forest ilibeba champions league mkiwa wapi Arsenal 🤔

Nauliza nyinyi Wenger orphans.
ipo
 
Back
Top Bottom