Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

.
1715176948244.jpg
 
Arse8 ya arsene Wanger sahii ingekuwa tayari na kombe lolote kubwa musimu ..ila hili group la arteta Sasa ..liko kwenye peak hakuna maelezo halafu linamaliza ligi bila kombe lolote lile ..zaid ya shiling ile ya ngao ya jamii😀😀
 
Yani mukaliwa😳😳
Soma ulichoandika kisha fananisha na ulicholenga.
Kukusaidia, mie sio shabiki wa liver mie ni arsenal. Nimemjibu huyo wa liver aliyesema tuchukue nunez, ndio nikamwambia nunez anahitaji vitu vidogo tu, akitulia basi watu watamshangaa, ni kama lile chizi lenu jackson, likituliza kichwa tu, watu watamkataa kama ndio jackson waliyemzoea
 
Msimu ujao Jackson atakuwa ni kama Kai watatu, unajua akija Emirates hakosi namba kabisa ..
 
Kaangalie takwimu kaka. Saliba hakuna beki mule kama unabisha muulize Didier Dechamp
Ngoja nikacheki, lakini suala la kucahgua mchezaji wa kocha ni mapenzi yake.. giroud vs benzema, tchoumeni vs camavinga, kai vs jesus, mjomba NTIBAZOKIZA 🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom