Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,243
- 76,803
Tukomae na games zetu. Ngumu city kuteleza kiuhalisia, wameshakua kwenye hiyo situation mara nyingi wana uzoefuJumapili itatakiwa tushinde kwa goli zaidi ya 4.
Hatupaswi kucheka na kima.
Bado ninaimani city ataweza kudraw lkn tukozubaa atatuzidi magoli