Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
UnitedNext game inabidi arsenal ampige mtu 6, sijajua tutacheza na nani
UnitedNext game inabidi arsenal ampige mtu 6, sijajua tutacheza na nani
Even yesterday against Bournemouth, it was possible, basi tu Mungu aliwapenda zaidiHuu ugomvi wa Arsenal na city ukijichanganya ukakutwa nao kuchezea tano au sita kawaida sana
nyie katka hii miaka 34-35 mmebeba mara mojaToka hili jukwaa lianzishwe hamjawahi kubeba ubingwa wa EPL hivi hamuoni aibu?
Yeah, chances tumepoteza piaEven yesterday against Bournemouth, it was possible, basi tu Mungu aliwapenda zaidi
Kuna kumhadaa kipa na kuna kimzuia asicheze mpira hewani....kaangalie lile tukio la jana vzuri...sio kulalamika hovyohovyo tuBen White anaruhusiwa kuwagongagonga makipa na kuvuruga focus yao kwenye kulinda goli kwenye kona Lakini mshambuliaji wa timu nyingine hawezi hata kugusana na kipa wa Arsenal bila kuwa faulo? Utani. Waamuzi na VAR wafisadi wakubwa @FA_PGMOL #ARSBOU #Rushwa
Sio kweli. Nikiingia kwenye PC nitakuletea video footage akiwagonga makipa kabisa na refa wala VAR hawasemi lolote na ushindi mwingi mmeshinda kwa njia hiyo na ndio maana mko juu kwenye magoli ya set-piecesKuna kumhadaa kipa na kuna kimzuia asicheze mpira hewani....kaangalie lile tukio la jana vzuri...sio kulalamika hovyohovyo tu
Leta hzo video zikionesha akiwazuia makipa kutokucheza mipira ya hewani...jana Solanke alichokifanya alimshika mkono wa kulia kidogo Raya halafu akamuqchia fasta kitendo kile kilimkosesha balance kucheza ule mpira vzuri....Ben White huwa anawaletea mazonge ila kumshika kipa asicheze hajawahiSio kweli. Nikiingia kwenye PC nitakuletea video footage akiwagonga makipa kabisa na refa wala VAR hawasemi lolote na ushindi mwingi mmeshinda kwa njia hiyo na ndio maana mko juu kwenye magoli ya set-pieces
Kwhyo hzi Tano sita tatu zte ni magoli ya VAR sio🤠🤠...TAfuteni chaka lingine wapinzani....j2 tutamtwanga Manunu na nyie mpate nafasi ya kuwa juu Yao Sasa ole wenu mshindwe kushinda mechi zenu....maana na nyny mna kama kiwewe hivi...mechi 2 yes af mechi Tano Tano NoSio kweli. Nikiingia kwenye PC nitakuletea video footage akiwagonga makipa kabisa na refa wala VAR hawasemi lolote na ushindi mwingi mmeshinda kwa njia hiyo na ndio maana mko juu kwenye magoli ya set-pieces
Set piece ambayo mchezaji anaweza kumsogelea kipa bila kua offside ni kona tu.Sio kweli. Nikiingia kwenye PC nitakuletea video footage akiwagonga makipa kabisa na refa wala VAR hawasemi lolote na ushindi mwingi mmeshinda kwa njia hiyo na ndio maana mko juu kwenye magoli ya set-pieces
Set piece ambayo mchezaji anaweza kumsogelea kipa bila kua offside ni kona tu.
So katika magoli 23+ ya set pieces ya Arsenal kona ni ngapi? Free kicks ngapi?
Kuna mechi ya Arsenal ilikua ni kona Ramsdale alitokea mchezaji wa timu pinzani akasimama mbele ya Ramsdale kipa akashindwa kuufikia mpira ile kona ikaingia moja kwa moja.
Ikifika muda wa kureturn favour itakua kichekesho tukiwaangalia usoni.
White ataendelea kuwavua gloves makipa, ataendelea kumsukuma Cucurella kila wakikutana.
Hujanielewa. Nimesema magoli ya set-pieces mhe.Kwhyo hzi Tano sita tatu zte ni magoli ya VAR sio🤠🤠...TAfuteni chaka lingine wapinzani....j2 tutamtwanga Manunu na nyie mpate nafasi ya kuwa juu Yao Sasa ole wenu mshindwe kushinda mechi zenu....maana na nyny mna kama kiwewe hivi...mechi 2 yes af mechi Tano Tano No
Unakaribia kwenye ukweli. Ebu leta hesabu ya magoli ya konaSet piece ambayo mchezaji anaweza kumsogelea kipa bila kua offside ni kona tu.
So katika magoli 23+ ya set pieces ya Arsenal kona ni ngapi? Free kicks ngapi?
Kuna mechi ya Arsenal ilikua ni kona Ramsdale alitokea mchezaji wa timu pinzani akasimama mbele ya Ramsdale kipa akashindwa kuufikia mpira ile kona ikaingia moja kwa moja.
Ikifika muda wa kureturn favour itakua kichekesho tukiwaangalia usoni.
White ataendelea kuwavua gloves makipa, ataendelea kumsukuma Cucurella kila wakikutana.
Benwhite ni fala tu na ataishia kuisikia kombe la EPL kwenye reďio. Anaharibu raha ya soka huyo kichwa majiWhite ataendelea kuwavua gloves makipa, ataendelea kumsukuma Cucurella kila wakikutana.
Ben White anaruhusiwa kuwagongagonga makipa na kuvuruga focus yao kwenye kulinda goli kwenye kona Lakini mshambuliaji wa timu nyingine hawezi hata kugusana na kipa wa Arsenal bila kuwa faulo? Utani. Waamuzi na VAR wafisadi wakubwa @FA_PGMOL #ARSBOU #Rushwa
Eh umeanza matusi tenaBenwhite ni fala tu na ataishia kuisikia kombe la EPL kwenye reďio. Anaharibu raha ya soka huyo kichwa maji
Unakuwaga rational kwenye kujadili soka, Benwhite bado anaendelea kuwagonga makipa na imechafua hali ya hewa kabisà. Inafanya marefa wa EPL wadharaulike kabisaBen white alikuwa anafanya vurugu kwa kipa mwanzoni mwanzoni na faulo zilikuwa zinatolewa hivyo tukawa hatupati faida yeyote. Baada ya hapo siku hizi anajitahidi kwenda tu kusimama mbele ya kipa ili kipa asimpite bila kumsukuma na mara nyingi anakubali kusukumwa tu au ile sekunde ya mwisho, mpira ukiaribia box, yeye anaondoka kabisa na kumpisha kipa maana anajua hata akianguka kwa kusukumwa na kipa hatutapewa penati. Hata hivyo, mpaka hapo anakuwa ameshamchanganya kipa na linabaki tu suala la Saliba, Gabriel au Kai kupiga vichwa magoli yaingie.
Kwa Bournemouth, Solanke alimsukuma kidogo Raya wakati anaenda kupambania mpira. Hiyo hairuhusiwi. Ajabu ni kwamba Gabriel ama Saliba alikuwa anavutana na akamvuta Billing na kumuangusha kabla tu ya Solanke kumsukuma Raya. Sijui kwa nini VAR hawakuangalia hilo na kuwapa Bournemouth penati.
Nimemtukana nani?Eh umeanza matusi tena