Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,240
- 76,776
Mwendo ni ule ule.
Kocha anayeonekana atafanya vizuri akifika cha kwanza ni kufananishwa na Arteta, akitoka hapo watamuuliza falsafa za mpira na masifa mengine mengine.
Mwezi mbele atakimbiwa.
Ilikua hivyo kwa Lampard, Ole, De Zerbi, Erik Kichwa Ngumu, Chuck Norris na ikafika kwa Ange.
Sasa hivi Ange wanamlaumu highline defending ambayo walimpongeza nayo ilipompa suluhu dhidi ya Arsenal. Juzi Ange anakuambia yeye kazoea kushinda, yupo radhi ajenge timu ila huku anashinda.
Sasa leo akipoteza ni game ya nne mfululizo