Juzi Madrid kapelekewa moto ,shukran ziende Kwa Lunin angekuwa Kepa wangepigwa hata 3
Bayern Munich wamepata on target 1 sijui hawajapata kabisa vs Lazio
Niliwahi kusema humu UCL timu nyingi zile giants ni zimeshuka
Madrid namuomba usiku na mchana,
Timu ambayo itatuumiza kichwa ni Mancity maana mbinu ni nyingi , Wachambuzi wanasema Arsenal ni Moja ya timu chache sana zinazoweza kumtoa city kule UCL akifuatiwa na Inter Milan
Binafsi naomba Mancity atolewe wakimshindwa turapambana nae wenyewe
Na wasiwasi Madrid au Bayern kuna mmoja hatafika nusu final,viwango vyao Kwa UCL haviridhishi ,nilisema toka mwanzo mwa msimu
Kwa kiwango Cha Madrid ile na leipzig angekutana na Arsenal Hii au Mancity wangempiga si chini ya goli 3.
Habari njema ,mechi 15 za mwisho tutakuwa na full squad ,
Habari njema nyingine
Iwapo Chelsea atasonga mbele kwenye FA cup vs Leeds ,basi mechi ya Arsenal vs Chelsea itasogezwa mbele ,hivo kuanzia tarehe 12 had 30-31 ,Arsenal hatutakuwa na mechi yoyote ,hii ni likizo nzuri kama ile ya Dubai , hizo ni wiki mbili kabisa ,kumbuka hapo injuries zitakuwa zimerejea
Partey anayetarajiwa week ijayo vs Porto
Vieira atakuwepo vs Porto
Timber atakuwepo vs Porto 2nd leg
Tomiyasu amesharejea
Jorginho amesharejea full training
Jesus amesharejea but atapumzika week hii
Zincheko amesharejea but ,anaweza akapumzishwa
Smith rowe pia atakuwa amerejea ,Arsenal walichukua tahadhari but Hana injury kubwa
Kwasasa hadi mwisho wa mwezi huu mechi zilizopo zipo ndani ya uwezo wetu kukusanya points zote
Tunaanza na Burney
View attachment 2905054