Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Magoli na maassist yamezagaa uwanja/kikosi kizima. Hapo bado benchi wako akina Jorginho, akina Jesus....

Halafu mtu anakuja kuuliza eti Saka na Gordon, mara sijui Havertz na Jackson, eti Palmer....

Sijui nani aliwaambia hizo ni shida zetu.

View attachment 2977572
yaani wakijifanya wanawabana wakina saka,trosard,
wanajikuta wanafungwa na mabeki......, hatari sana
 
USHAURI WA BURE KWA SHABIKI WA ARSENAL KUHUSU MECHI ZILIZOBAKI.

1. Kusitisha kuangalia mechi zilizobaki za CITY, atashinda zote

2. Kukusanya dawa zote ndani ya nyumba na kwenda kuzitupa mbali au kuzichoma moto

3. Kukusanya kamba zote, mtandio, kanga na mkanda ndani ya nyumba na kwenda kuvichoma moto.

4. Ondoa vitu venye ncha kali kama kisu na bisisi nyumbani kwako na kwenda kuvitupa mbali.

5. Mwisho usipite kwenye madaraja marefu au karibu na visima virefu.

MWISHO WA MSIMU UTANISHUKURU
Mkuu jiandae kuja kwenye party ya bure nitakayoiandaa Mwezi May, 2024 Arsenal tukichukua Ubingwa

Karibu sana Mkuu 🤗
 
Unaialika mijitu ya Chelkenge ya nn...Bora wa Liverkuku kidogo timu Yao ilionesha upinzani....hii ya Chelkenge na Manunu hawatakiwi hata kusogelea eneo la tukio maana hawana timu za kueleweka Bali Wana vigenge vya mchakamchaka
Mkuu jiandae kuja kwenye party ya bure nitakayoiandaa Mwezi May, 2024 Arsenal tukichukua Ubingwa

Karibu sana Mkuu 🤗
ka
 
Timber could play on saturday
Too soon aisee.
Nadhani tumuache mpaka pre-season tu. Waliopo wapambanie kombe. Ukitokea muujiza, city akapoteza game moja na sisi tushindwe kupata hata droo moja (yaani tushinde mechi zetu 3) huku tukiboresha GD, then ubingwa ni wetu. Ila tumuache kijana apumzike bila presha ya kufukuzia ubingwa kwa sasa.
 
USHAURI WA BURE KWA SHABIKI WA ARSENAL KUHUSU MECHI ZILIZOBAKI.

1. Kusitisha kuangalia mechi zilizobaki za CITY, atashinda zote

2. Kukusanya dawa zote ndani ya nyumba na kwenda kuzitupa mbali au kuzichoma moto

3. Kukusanya kamba zote, mtandio, kanga na mkanda ndani ya nyumba na kwenda kuvichoma moto.

4. Ondoa vitu venye ncha kali kama kisu na bisisi nyumbani kwako na kwenda kuvitupa mbali.

5. Mwisho usipite kwenye madaraja marefu au karibu na visima virefu.

MWISHO WA MSIMU UTANISHUKURU
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji119][emoji119][emoji119]

Ukiangalia kwa undani, utaona mashabiki wa upinzani ndo wana pressure zaidi yetu. Hawana mashaka kabisa kwamba Gunnerz hizi mechi zilizobaki tunashinda zote.

Kinachowapa kiwewe, ni vile wanafikiria what If City akapoteza points na majamaa yakashinda mechi zilizobaki. Matokeo yake wameamua kujificha katika kauli kama ulizoandika hapo juu.

Kimsingi huo ushauri unatakiwa kufanyiwa kazi na KENGE, NYUMBU bila kuwasahau KUKU MITETEA.

Sisi wenyewe, tupo calm and cool like a cucumber.
 
USHAURI WA BURE KWA MASHABIKI WASIO WA ARSENAL KUHUSU MECHI ZILIZOBAKI.

1. Kusitisha kuangalia mechi zilizobaki za CITY NA ARSENAL

2. Kukusanya dawa zote ndani ya nyumba na kwenda kuzitupa mbali au kuzichoma moto

3. Kukusanya kamba zote, mtandio, kanga na mkanda ndani ya nyumba na kwenda kuvichoma moto.

4. Ondoa vitu venye ncha kali kama kisu na bisisi nyumbani kwako na kwenda kuvitupa mbali.

5. Mwisho usipite kwenye madaraja marefu au karibu na visima virefu.

MWISHO WA MSIMU LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA, UTANISHUKURU

Cash Money Forever
 
Unatakiwa tu kumuandalia kadi ya mualiko ya kusheherekea ubingwa wetu maana walau hyu kale katimu kake kalijitahidi kupishana na sisi tulivyokutana....
Huoni kama unajitesa mkuu.
Arsenal kwa mechi alizobakiza kupoteza ni bahati mbaya.
Pili kwa mashabiki wa arsenal haitakuwa surprise kwetu maana wengi wetu tunajua boli na tunajua lolote linaweza tokea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom