Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unatakiwa tu kumuandalia kadi ya mualiko ya kusheherekea ubingwa wetu maana walau hyu kale katimu kake kalijitahidi kupishana na sisi tulivyokutana....
Kadi hato pata mpaka akili kama arsenal ni bwana na mwokozi wakumzuia oilchester cheat115 asibebe kombe
 
Jirani..mechi itakayoamua kama tuna nafasi ya ubingwa ni Tottenham vs City.. wale wadogo zetu wakikaza basi ndoo tunabeba...ila wakizingua ndo itakuwa basi🤠🤠
Kiushabiki, sidhani kama mashabiki wa Totteham wanatamani hata sare tu, nahisi wanatamani hata wafe goli 6, ila sijui kuhusu wachezaji ambao ni proffesional players... matumaini pekee ni kwa Totteham sioni mtu wa kuthubutu hata kutoa sare na city hii, city akiwa analitaka jambo lake ni hatari sana.
 
Nyie matakataka muna timu mbovu sana sema hii ligi munaeza beba mambanga nyie
USHAURI WA BURE KWA MASHABIKI WASIO WA ARSENAL KUHUSU MECHI ZILIZOBAKI.

1. Kusitisha kuangalia mechi zilizobaki za CITY NA ARSENAL

2. Kukusanya dawa zote ndani ya nyumba na kwenda kuzitupa mbali au kuzichoma moto

3. Kukusanya kamba zote, mtandio, kanga na mkanda ndani ya nyumba na kwenda kuvichoma moto.

4. Ondoa vitu venye ncha kali kama kisu na bisisi nyumbani kwako na kwenda kuvitupa mbali.

5. Mwisho usipite kwenye madaraja marefu au karibu na visima virefu.

MWISHO WA MSIMU LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA, UTANISHUKURU
 
Jesus akiondoka ni maamuzi ya bodi zaidi kuliko ya Arteta
Nikimtizama akiwa benchi naona anakosa furaha, hajioni kama yeye ni mchezaji wa benchi, haoni kama yule anayeanza kamzidi. Kuna wachezaji wakianza nawe uko benchi wala husononeki, unachoombea ni timu ipate matokeo mapema/waumie au kuchoka ndio upate nafasi, na wakati mwingine wakiumia na matokeo bado hata wewe wa benchi unasononeka(unapagawa)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom