Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu kocha ana mdomo sana ,inatakiwa siku hiyo ni kuwapiga Pini ,piga msako sana ,

Erik Ten Hag after beating Liverpool YESTERDAY:

“At Arsenal, the fourth game of the season - we should have had a penalty in the 87th minute, we scored with Garnacho, disallowed. Then we concede a goal that should always have been disallowed.” 🥱 #afc

Bora Chelsea Huwa Wana turn up na wanaweza kukupa game ngumu, sio Hawa manjesta, Jana Liverpool walipoongoza 2-1 , wakawa wanacheza tu muda uishe ,walikuwa wanaweza kuwapiga hata goli zaidi ,

Huo ujinga Arsenal hatuna ,ukiingia kwenye mfumo tunakulamba za kutosha

Cheki wanavyoaacha manafasi halafu sio mara moja ,

Unahitaji pasi 1 had 3 kufika golini kwao

Kabla msimu haujaisha ,manjesta atapigwa 5-0 had 6-0

Bado Kuna timu zinafanya utani sana

20240317_191336.jpg
 
View attachment 2938308
Nyumbu tukicheza nao hawafunguki hivi, wanacheza low block unless wapate goli ndio wanaacha space

Ila kono la nyani hawatalikwepa hata wachezeje
 
Attachments

  • 20240311_201907.jpg
    20240311_201907.jpg
    1.2 MB · Views: 8
🚨 Thomas Partey has asked the Ghana FA to exclude him from national call-up in order to regain full fitness after his prolonged injuries. 🇬🇭

Full fit Thomas Partey kwenye title race itakua 🔥🔥🔥View attachment 2938309
Mjomba anakuja mwishoni mwishoni kama polisi au jeshi kwenye movie za mkono za 90s. Unakuta steringi kapambana kinoma kashaua maadui wote, ndiyo backup inakuja😂😂
 
Zamani ilikua Arsenal tukiwa na mchezaji mzuri tunawaza atafuatwa na hawezi kukataa.

Siku hizi hatuhofii.

Una mchezaji katakwa na City mwingine Juve akagoma kaja Arsenal na una uhakika hana mpango wa kuondoka.

Unaambiwa winger wenu alitakwa na Madrid ila mkampelekea mkataba na akausaini faster. Mna beki timu zingine zinaota kumpata mnampa mkataba anasaini hajiulizi.

Mna makipa wawili wote on fire wote wanataka kukaa ila ndiyo vile inabidi mmoja aende.
 
Nyumbu tukicheza nao hawafunguki hivi, wanacheza low block unless wapate goli ndio wanaacha space

Ila kono la nyani hawatalikwepa hata wachezeje
Jana dakika kama 20 walikuwa Wana press , Liverpool wakifanya buildup inakuwa hivi ,ni vile Liverpool walifanya dharau wakawa wanajua mechi imeisha

Vs Arsenal ,7 hag atawadanganya Tena wa press hapo ndio kiama kitawakuta

Wakikaa nyuma maana yake wamesaliti mapambano wametuachia mpira tuwapige Sako la nyani

Wakivizia kaunta

Arsenal ni best team in the world kwa Rest defence

Wakipoteza mpira ,sekunde wamesharudi wote kwenye form ya 4-4-2

Hapo nyuma Kuna 4CBs , Hakuna natural Fullback hapo

White Saliba Magalhaês Kiwior

White Saliba Magalhaês Timber

White Saliba Magalhaês Tomiyasu

But Mikel vs man u anapenda kuwawekea

White Saliba Magalhaês Zinny,

Nyuma wanabaki mabeki watatu

White Saliba Magalhaês

Jorginho Zinny

Juu Ødegaard na Rice

Hawa umbwa wataita maji mma
20240317_191336.jpg
 
Kwakuwa zitakuwa mechi za mwsho kiungo awe Partey..Rice na Odegaard..huku nyuma left back akae Tomiyasu au Timber akiwepo...yaani tusiishie kuwadunda tu hadi mpira wautafute kwa tochi
Jana dakika kama 20 walikuwa Wana press , Liverpool wakifanya buildup inakuwa hivi ,ni vile Liverpool walifanya dharau wakawa wanajua mechi imeisha

Vs Arsenal ,7 hag atawadanganya Tena wa press hapo ndio kiama kitawakuta

Wakikaa nyuma maana yake wamesaliti mapambano wametuachia mpira tuwapige Sako la nyani

Wakivizia kaunta

Arsenal ni best team in the world kwa Rest defence

Wakipoteza mpira ,sekunde wamesharudi wote kwenye form ya 4-4-2

Hapo nyuma Kuna 4CBs , Hakuna natural Fullback hapo

White Saliba Magalhaês Kiwior

White Saliba Magalhaês Timber

White Saliba Magalhaês Tomiyasu

But Mikel vs man u anapenda kuwawekea

White Saliba Magalhaês Zinny,

Nyuma wanabaki mabeki watatu

White Saliba Magalhaês

Jorginho Zinny

Juu Ødegaard na Rice

Hawa umbwa wataita maji mmaView attachment 2938353
..
 
Huyu kocha ana mdomo sana ,inatakiwa siku hiyo ni kuwapiga Pini ,piga msako sana ,

Erik Ten Hag after beating Liverpool YESTERDAY:

“At Arsenal, the fourth game of the season - we should have had a penalty in the 87th minute, we scored with Garnacho, disallowed. Then we concede a goal that should always have been disallowed.” 🥱 #afc

Bora Chelsea Huwa Wana turn up na wanaweza kukupa game ngumu, sio Hawa manjesta, Jana Liverpool walipoongoza 2-1 , wakawa wanacheza tu muda uishe ,walikuwa wanaweza kuwapiga hata goli zaidi ,

Huo ujinga Arsenal hatuna ,ukiingia kwenye mfumo tunakulamba za kutosha

Cheki wanavyoaacha manafasi halafu sio mara moja ,

Unahitaji pasi 1 had 3 kufika golini kwao

Kabla msimu haujaisha ,manjesta atapigwa 5-0 had 6-0

Bado Kuna timu zinafanya utani sana

View attachment 2938308
Halafu manyumbu na Kocha wao kitu ambacho hawakifikirii ni kwamba Arsenal ya Sasa na Arsenal iliyoanza ligi ni vitu viwili tofauti.

Mwanzoni mwa ligi tulikuwa tuna struggle kutengeneza chances za kufunga, hata mpira wetu haukuwa na flow nzuri.

Me nataka ajaribu kucheza mpira wa kupishana aone mziki wake
 
Last season kwa kiswahili MSIMU ULIOPITA man United alikuwa na mafanikio kuliko arsenal

Winner - carabao cup
Finalist- FA cup
3rd - EPL ambayo haina tofauti na nyinyi 2nd au 4th

Mna kelele tu, lkn hyo style of playing ni yenu, msiforce tuwe saresare
 
Unawajua fc Porto, punguzeni kelele nyie hopeless fc
 
Manjesta fans wanaongea sana

Tutakutana tu

Ila mjue mnakutana na

Best team in the world katika transition

Best team in the world katika defence

Best team in the world katika kufunga magoli

Sasa chezeni hivi muone mziki wakeView attachment 2938315
"Best team in the world katika transition
Best team in the world katika defence
Best team in the world katika kufunga magoli"

Masingeli acha kuiongopea hii misukule ya humu ndani.
Asenyau haiwezi kua best team labda kama unamaanisha best loser.

Halafu Masingeli naona umeshashtukia msimu huu mnaondoka mikono mitupu, hivyo mdogo mdogo naona umeshaanza kuiboost ID yako mpya ya Odegard kwa nyuzi za
USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
utakayoitumia msimu ujao
 
Last season kwa kiswahili MSIMU ULIOPITA man United alikuwa na mafanikio kuliko arsenal

Winner - carabao cup
Finalist- FA cup
3rd - EPL ambayo haina tofauti na nyinyi 2nd au 4th

Mna kelele tu, lkn hyo style of playing ni yenu, msiforce tuwe saresare
Na ndo kombe la mwsho la baba Ubaya maana style yake ya uchezaji tyri watu washaijua...hzi mechi karibia 10 alizopoteza ni kwasababu watu wamemsoma na kuona hyu ni mbabaishaji🤠🤠...
 
"Best team in the world katika transition
Best team in the world katika defence
Best team in the world katika kufunga magoli"

Masingeli acha kuiongopea hii misukule ya humu ndani.
Asenyau haiwezi kua best team labda kama unamaanisha best loser.

Halafu Masingeli naona umeshashtukia msimu huu mnaondoka mikono mitupu, hivyo mdogo mdogo naona umeshaanza kuiboost ID yako mpya ya Odegard kwa nyuzi za
USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
utakayoitumia msimu ujao
Nina ID moja tu humu aisee

Manjesta acheni kelele narudia tena
 
KIMMICH amegoma kuongeza mkataba Bayern ,Plettigol mwandishi wa habari za Bayern ametaja list ya timu ambazo zitakuwa destination yake

| JUST IN: Kimmich is only considering signing for these clubs:

– Manchester City
– Liverpool
– Arsenal
– Real Madrid
– FC Barcelona

A move to Manchester United, Chelsea, and PSG is not an option for him.

[@Plettigoal]
20240318_213611.jpg
 
[@Plettigoal]View attachment 2938447
A very good player no question but hii siyo unnecessary wage bill?
 
Back
Top Bottom