Malaria na Arsenal wapi na wapi aisee...halafu tuliambiwa Malaria imetokomezwa...hii inakuwaje hiiš¤š¤Kumbe mchambuzi nguli alilazwa kisa kichapo cha Aston Villa naona kapost leo huko X tuna msubiri kwa hamu kubwa hapa. bwana hamis77 upunguze matarajio na hii timu tutakuzika mapema sana kijanaš¤£š¤£View attachment 2973536
Arsenal ni kubwa mno mno mno
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi kama Aston Villa tu imemfanya akalazwa basi Spurs na Utd zitampeleka ICU kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe mchambuzi nguli alilazwa kisa kichapo cha Aston Villa naona kapost leo huko X tuna msubiri kwa hamu kubwa hapa. bwana hamis77 upunguze matarajio na hii timu tutakuzika mapema sana kijana[emoji1787][emoji1787]View attachment 2973536
Mjiandae na shombo zetu tutakaponyanyua ndooš¤ š¤ ...hamtakaa kwa amani kwny magrup yenu wanga wte[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi kama Aston Villa tu imemfanya akalazwa basi Spurs na Utd zitampeleka ICU kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio kombe tu hata bilauri nyie Kima hamtabeba, mafanikio yenu msimu huu ni lilelile sinia lenu la maharage mliloachiwa na Mancity [emoji16][emoji16][emoji16]Mjiandae na shombo zetu tutakaponyanyua ndoo[emoji1783][emoji1783]...hamtakaa kwa amani kwny magrup yenu wanga wte
Ole wenu wakitwaa kombe sijui mtajificha wapi na kejeli zenu japoMan City ana nafasi kubwa kutetea ubingwa mpaka hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio kombe tu hata bilauri nyie Kima hamtabeba, mafanikio yenu msimu huu ni lilelile sinia lenu la maharage mliloachiwa na Mancity [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2973805
PersoOle wenu wakitwaa kombe sijui mtajificha wapi na kejeli zenu japoMan City ana nafasi kubwa kutetea ubingwa mpaka hapo
Hamna hamna anakufa 6 leo.Mauaji ya kimbari yanaendelea huko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi mnamuona Masingeli ni mjinga kulikimbia jukwaa mapema kabla hata ligi kuisha???Na nikawambia ni rahisi kushindana na liva kuliko city.
Tumtoe kafara flano ili city asikae juu.
Mkagoma.
Matokeo yake city akawa juu, flano yupo hai anatupigia kelele
Hakuna mtu alikua anatupigia makelele humu kuhusu De Zerbi kama Masingeli.Zamani ilikua unasikia "De Zerbi kocha hatari" waandishi wanamhoji juu ya formation wakatengeneza na quotes.
Kisha wakamfananisha na Arteta.
Alivyoanza kunyooshwa siku hizi humsikii tena
sio kocha m'baya nenda kaangalie list ya injury wake ndio uje umtolee critics soo far he is an elite coachZamani ilikua unasikia "De Zerbi kocha hatari" waandishi wanamhoji juu ya formation wakatengeneza na quotes.
Kisha wakamfananisha na Arteta.
Alivyoanza kunyooshwa siku hizi humsikii tena
picha hii huwa inanikera sanaOya wanangu wa Arsenal leo nimefurahi sana kuwafunga wale Genge la Cheltano šŖ
Huyu alikuwa tumpige kama 8 hivi ili wamfukuze Pochetino kabla hakujakucha .
View attachment 2972406