Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,242
- 21,034
Yale makelele ya "Arteta sio kocha" mbona siyasikii? Tuache ujuaji kwenye professional za watu.
Unayumba mkuu..hii sio sawaOya wanangu wa Arsenal leo nimefurahi sana kuwafunga wale Genge la Cheltano 💪
Huyu alikuwa tumpige kama 8 hivi ili wamfukuze Pochetino kabla hakujakucha .
View attachment 2972406
Marahaba dogoHabari, hujambo?View attachment 2972399
Hii picha si nzuriOya wanangu wa Arsenal leo nimefurahi sana kuwafunga wale Genge la Cheltano 💪
Huyu alikuwa tumpige kama 8 hivi ili wamfukuze Pochetino kabla hakujakucha .
View attachment 2972406
Golini c atasimama Onananaona mmeshiba makande mmeanza kubwabwaja sasa yani nyie toka EPL ianze amna record ya kutufunga hata goal 4 na kuendelea ile ni OT wewe mkora kuwa makini.
usije ukakimbia jukwaa kama ndugu yako.

Shida sio majukumu, tatizo ni ike nyongeza ya partey, kuna tofauti kubwa rice akicheza pale chini na partey akicheza, utaona utofauti tu. Kiazi kai 😂 akicheza LCM na rice akicheza LCM wote wanatimiza majukumu ila kuna utofauti mkubwa mnoo.partey role yake timber pia anaiweza.. arteta akituliza akili vizuri.. timber anaeza kuwa kiraka mzuri tu.
rice pia anaweza kufanya majukumu ya partey.. kuwa juu ya CBs na pia ata kwenye majukumu yake yeye ya rice kama jinsi sasaivi anavocheza pia timber
nae anaweza kufanya vizuri.
Hivi mchambuzi nguli hamis77 yupo kweli? Huwa tukifanya vizuri anatoa uchambuzi balaa, tukifanya vibaya anapotea.


Masingeli ana type halafu anafuta, kila akifikiria jinsi anavyo wananga wale wanao ongea ukweli timu ikifungwa nafsi inamsuta, hua anawashambulia na kuwaambia timu ikifanya vizuri hua hawaonekani jukwaani wakipongeza ila timu ikidundwa wanajazana humu, sasa na yeye kumbe ni yaleyale Arsenyo ikifanya vizuri anaonekana humu na kuzurura kwenye majukwaa yote kufanya fujo halafu timu yake ikidundwa analikimbia jukwaa na kuwaachia msala chawa wake mkorea na arsenal2004 wanachezea spana humu 24/7. 


Yes nakuunga mkono hiyo picha haifaiHii picha si nzuri
Tunapo zungumzia malezi ya pande mbili hua mnahisi kama vile tuna chuki tu binafsi dhidi yenu, ina nakuhakikishia katika majukwaa ya timu zote humu hili jukwaa lenu ndio linaongoza kwa utovu wa nidhamu.Hii picha si nzuri
Sa mbona huyo jamaa ni shabiki wa United?Tunapo zungumzia malezi ya pande mbili hua mnahisi kama vile tuna chuki tu binafsi dhidi yenu, ina nakuhakikishia katika majukwaa ya timu zote humu hili jukwaa lenu ndio linaongoza kwa utovu wa nidhamu.
Malezi, Malezi, Malezi, vijana wengi badala ya kulelewa na baba na mama wao wamelelewa na beki 3.
AloTunapo zungumzia malezi ya pande mbili hua mnahisi kama vile tuna chuki tu binafsi dhidi yenu, ina nakuhakikishia katika majukwaa ya timu zote humu hili jukwaa lenu ndio linaongoza kwa utovu wa nidhamu.
Malezi, Malezi, Malezi, vijana wengi badala ya kulelewa na baba na mama wao wamelelewa na beki 3.
Sa mbona huyo jamaa ni shabiki wa United?
Tatizo ni kwamba majukwaa yenu hayakaliki so hata wapuuzi wanakuja humu pia.
Trace week mbili nyuma alikua anapenda kusema Arsenal tuscreenshot msimamo wa ligi kabisa kwakua Liva au city anatutoa.


Acheni kumkana kijana wenu, msiwe kama Mayuda Eskarioti. 


Kuna watu wanashindwa kabisa kutofautisha kati ya utani na matusi.Hyu alopost hyo picha ni mnazi wa Chelkenge....na anajulikana...mitusi ipo majukwaa yteyte....Kila jukwaa kuna kichaa mmoja ambaye fyuzi inakuwa imekatika....sijui watu huwa wanafeli wapi...hivi mtu huoni aibu ku post matusi aisee....
Alo