Pep kupoteza mechi, yaani hata sare tu, ni ngumu mnoKilichobaki ni Spurs tu mechi ijayo wafunge hesabu mapema ili FA wammalizie Kipara Advance yake iliyobaki ya ubingwa wa Epl 2023/2024
Kuna Kima humu bado zinapeana false hopes kua Guardiola atapoteza japo mechi moja kwenye fixtures iliyobaki![]()
Hii nategemea iwe game ngumu kwetu msimu huu. Watatushambulia sana na kuitoroka press yetu sana tukijaribu.Spurs mtani wa jadi.
Ana game na sisi, liva na city.
Hizi games zote anatakiwa ajitoea 100%
Kwakua wao na sisi ni Derby watajitoa zaidi ya 100%
Wana chance kushinda dhidi ya Liva so kwa hapa hawatorisk 100%
Hawana uhakika na ushindi kwa City so anaweza akaona hana haja ya kuikomalia hii game.
Game against Spurs haiwezi kua nyepesi kama tunavyohisi
Pep kupoteza mechi, yaani hata sare tu, ni ngumu mno


Kwa hio wote mmeshakubaliana humu kua phase4 sio phase ya makombe, bali masingeli na genge lake walikua wanaupotosha umma na kusababisha taharuki, hivyo sheria ifate mkondo wake washughulikiwe kama wale wahuni wa Uganda walivyoshughulikiwa kwenye phase3?ngoja tuone kaka, liverkuku kadroo leo 😂😂😂😂😂Pep kupoteza mechi, yaani hata sare tu, ni ngumu mno
mfumo anaotumia dezabi unataka backline makini na yenye mbio, maana anataka counterattack ko ikibuma ni kilioBado naamini De Zerbi ni bonge la kocha la soka la kisasa. He needs to be on top teams(liver, city, Chelsea, man u, arsenal, tots) kwa hapo uingereza kuonyesha umwamba wake.
Anatakiwa awe sehemu, ambapo top talents zinakuja kwenye timu yake na kubaki, sio kuondoka. Imagine Caicedo bado yupo pale na Mac Allister, then wanaongezwa watu wengine wa maana.
Hii ndo sababu kwenye press conference ya March before game na Liverpool, alipoulizwa kuhusiana na hatma yake,akajibu “I need to speak to Tony Bloom (owner and chairman) about the plan for the club in order to decide my future, I want to know what is the project. I want to keep my ambition."
Plan and project za Brighton, haiwezi ku-extract maximum potential ya RDZ.
officialNa nyie city mjikaze kwenye GD hapo ukipigwa au draw game mmoja Arsenal ashinde yake mtaamuliwa kwa GD au H2H
Man city played 33 games points 73 GD 44
Arsenal played 33 games points 71 GD 49
japo mna advantage ya easy fixtures zaidi yao ila bado anything can happen in football maana tunajua lazima mfe kwa spurs
huku tunawapiga spana Arsenal haimaanishi washatoka kwenye epl candidate hapana tunawapa ka reality na composure ya kutafakari ni jinsi gani wata amka na deal na mechi zao more matured kisha wawepo na points nyingi za kupambana na nyie
Mechi ya kesho ndo decider kwa Arsenal...wakishinda the race will go down to the last day....ila matokeo yyte hata draw then it's game over....official
Hii run ni ya city v/s arsenal watalaam tulishalisema hilo muda mrefu hapo tatizo litatokea city atakapo draw au kupoteza ni itakuwa vita ya GD
kila mtu ashinde mechi zake na mwenye point au Gd kubwa apewe kombe lake
Liva kasuluhu ila watu bado wapo jukwaa hili.
Nilifanya kazk na wachina. Yaani performer mzuri ndiye hua anasakamwa na kugewa targets za juu kuliko performer wa hovyo.
Kuna timu zishakatiwa tamaa. Kenge, nyumbu na liva so hata ukiwacriticise unapoteza nguvu zako bure.


Braza Castro Oil hili kwetu tunalihesabia ni jukwaa la Comedy, kila tunapojisikia kucheka tunakuja humu, humu ndani kumejaa vibweka vya kila namna, uwepo wako humu unategemea tu na uimara wa mbavu zako. 


not yet brotherMechi ya kesho ndo decider kwa Arsenal...wakishinda the race will go down to the last day....ila matokeo yyte hata draw then it's game over....
Yes ndo ukwelMechi ya kesho ndo decider kwa Arsenal...wakishinda the race will go down to the last day....ila matokeo yyte hata draw then it's game over....
Nyinyi mmekua wabovu kwa miaka zaidi ya 12.Braza Castro Oil hili kwetu tunalihesabia ni jukwaa la Comedy, kila tunapojisikia kucheka tunakuja humu, humu ndani kumejaa vibweka vya kila namna, uwepo wako humu unategemea tu na uimara wa mbavu zako.
Ndio maana hua unaona watu wengi tunajazana humu, ila kujazana kwetu humu usidhanie kua mna kitu special kwenye mpira kuliko timu nyingine hapana, ingekua ni hivyo basi sever ya jukwaa la Mancity ingekua imeshajaa zamani sana![]()
Punda kabisaJichangaye useme Burnley hapati goli kwa nyumbu
Nyinyi mmekua wabovu kwa miaka zaidi ya 12.
Kwanini mna ushawishi kuzidi city?
Unadhani mna kitu special?
Pep alivyosema angekua unyumbuni na kupata robo ya mafanikio ya city angefurahiwa sana unadhani ni kwa vile mna kitu special?
Hatuendi jukwaa la city kwakua wana shabiki mmoja tu naye ni chizi.


Pain killer huyouna draw na burnley mchovu kajifia na game nzima alikua foster anamhemea onana..🤣🤣Braza Castro Oil hili kwetu tunalihesabia ni jukwaa la Comedy, kila tunapojisikia kucheka tunakuja humu, humu ndani kumejaa vibweka vya kila namna, uwepo wako humu unategemea tu na uimara wa mbavu zako.
Ndio maana hua unaona watu wengi tunajazana humu, ila kujazana kwetu humu usidhanie kua mna kitu special kwenye mpira kuliko timu nyingine hapana, ingekua ni hivyo basi sever ya jukwaa la Mancity ingekua imeshajaa zamani sana![]()