Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,392
Ww dawa yako leo udundwe....hiki kiherehere chte kitaisha🤠🤠...kufungwa afungwe Chelkenge ila kiwewe upate ww...inaonekana jana usiku usingizi ulikosekana kabisa...Kila ukiwaza zile Tano hamu inakuishaNdio makombe yenu haya msimu huu
1) Raya cleansheet Cup
2) We defeated Liverpool Cup
3) Odegaard BiG IQ cup
4) We scored Many Goals Cup
Hapo Quadraple tayari.
Chelkenge wa Reddit nao wana hasira sana na Kai, ingawa hakika ni kwa sababu zingine kabisa...Mtu anapewa sifa nzuri au mbaya kulingana na wingi wa mazuri na mabaya yake ... Kai kwangu anakera zaidi kuliko kufurahisha, haimaanishi kina trossard, saliba, raya hawakosei, nao inatokea wanakosea lakini mazuri yao ni mengi zaidi.
Kwangu ngongoti kai ni big NO mpaka abadilike.
Mkuu, haya yapo kwa kina Flano. Ila mashabiki wa Arsenal sidhani kama bado wanalo hiliYale makelele ya "Arteta sio kocha" mbona siyasikii? Tuache ujuaji kwenye professional za watu.
Waje na ile high press yao afu Partey awepo kono la nyani litawahusuArteta akijipanga vizuri, anaweza kutoa kipigo kama cha jana kwa mshindani wake wa Jumapili