makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,428
- 108,438
Arsenal hatuna huu uhuni kabisa mkuu, huyu atakuwa ni wenu au livakukuTunapo zungumzia malezi ya pande mbili hua mnahisi kama vile tuna chuki tu binafsi dhidi yenu, ina nakuhakikishia katika majukwaa ya timu zote humu hili jukwaa lenu ndio linaongoza kwa utovu wa nidhamu.
Malezi, Malezi, Malezi, vijana wengi badala ya kulelewa na baba na mama wao wamelelewa na beki 3.
Amini maneno yangu 😂