Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aston Villa huenda akaharibu sikukuu ya mwezi mei, naona wengine wote waliobaki wanachezea tu. City anaweza kusuluhu na nani ili twende sawa?
Kuna game tulizipoteza siku za nyuma zinaumiza sana. Sema ni vile mpira tu. Ila leo ndo zinatuweka kwenye presha.
 
Tatizo kubwa la Chelsea ni boss wao Boehly, wakati anainunua hii timu yeye alikua anajua amenunua timu ya Cricket ndio maana akamtimua Tuchel na kuwaletea makocha wa Kihindi.
Haya matokeo yamenifurahisha kitu kimoja, yatamtoa Masingeli huko vichakani na kumrudisha humu aendeleze zile false hopes
 
Saliba anavyowatulizaga na kuwapunguza wapinzani akiwa na ball. Kwa Arteta sio shida, coz anamjua vizuri alivyo calm katika situation hizo.

Kwa upande wa Deschamps, yeye hataki pressure kabisa. Amesema hadharani "He does things i don't like"
 
Unajiskiaje points zako hazifiki GD ya gunners
GD haileti kombe lolote mezani,
Mwaka juzi mlikua mnajisifu na cleanshit ziliwasaidia kupota kombe gani?
Msimu ulioisha mkajisifu kwa pressing & overloading ziliwapea kombe lipi mezani?
Msimu huu mmehamia kwenye GD ndio maana kila siku tunaongea humu Arsenyau mna mentalities za mid table teams, badala ya kuhangaika na vitu vya maana nyinyi kila msimu mnahangaika na vitu ambavyo havitawapea kombe lolote mezani.
 
Kesho tupo na nyny kuona mkitandaza bolu🤣🤣🤣....security guard una Fujo sana aisee
 
GD haileti kombe lolote mezani,
Mwaka juzi mlikua mnajisifu na cleanshit ziliwasaidia kupota kombe gani?
Msimu ulioisha mkajisifu kwa pressing & overloading ziliwapea kombe lipi mezani?
Msimu huu mmehamia kwenye GD ndio maana kila siku tunaongea humu Arsenyau mna mentalities za mid table teams, badala ya kuhangaika na vitu vya maana nyinyi kila msimu mnahangaika na vitu ambavyo havitawapea kombe lolote mezani.
Acha watu tufurahi weweeee.

Kwani kukosa kombe ndiyo tusiwe na kitu cha kufurahia? Hayo ma clean sheets, ma GD, maoverloading ndiyo yanatupa cha kujifariji tunapokosa makombe. Kama nyie mnavyofurahia kufika FA fainali kwa miujiza.
 
Back
Top Bottom