Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yaan hii Arsenal pamoja na kuwa ndo timu ilofunga magoli mengi zaidi lakini haijaweka top scorer 4 ktk ligi. What a team work. 💪🏼
wanga wabaya sana asee....leo tumeshinda kuna watu wataibuka toka mashimoni mwao
kuna wengine hata tukishinda wao ni kutusagia kunguni tu
awamu hii mbele ya arsenal kila goti litapigwa
 
Kiungo ya partey, rice na odegaard ndio ilifaa kuanza hata uefa, winger trossard juu jesus..

Chelsea ni timu ya kuonea huruma kwa kweli, nafikiria kuiombea timu yangu ya mtaani hapa game ya kirafiki na chelsea.

Hawa hata ile game ya kwanza hawakupaswa kupata ile droo
 
Jumapili tuombeane uzima yani mtaeleza
arsenal.jpg
J
 
Unajiuliza MOTM apewe nani kati ya Rice au Ødegaard mpaka unaumiza kichwa.

Aisee leo apewe Ødegaard tu.
View attachment 2972250
Niliwahi kusema Rice na Arteta wanatuongepea kusema Rice ni bora zaid akicheza kama 6,,, ila Akicheza 8 tunapata vitu vingi sana kutoka kwake na ni ngumu kuvipata kwa mchezaji mwingine yoyote pale Arsenal akicheza 8..
 
Rice anatakiwa kucheza hapo hapo 8, chini yake tupate jitu lenye mpira wa kipartey partey.
Hapo ndo penyewe kabisa na ndo kutamfanya kushine zaid na zaid, namuona akitengeneza nafasi nyingi, akifunga sana kwenye 8, ila kupata replacement ya Partey daah sio rahis aisee yule mwamba ni habari nyingine kabisa
 
Back
Top Bottom