Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa Kima kila msimu wanatoka Mikono mitupu halafu kwa aibu wanatafuta vitu visivyo na faida yoyote vya kujivunia navyo, mwaka juzi yamemaliza ligi nafasi ya 5 Masingeli akawadanganya kua kwao nafasi ya 5 haina tofauti yoyote na ubingwa maana wao ndio wanaongoza kwa cleanshit[emoji2][emoji2][emoji2]
Msimu uliosha wameongoza ligi kwa siku 258 halafu kombe wakabeba wengine, Masingeli akawaambia watembee vifua mbele maana timu yao ndio inayoongoza kwa Pressing & Overloading pamoja na Position Interchange[emoji1][emoji1][emoji1]
Msimu huu wakati unaanza Masingeli Akawadanganya tena kua Arsenyo ya msimu huu ndio ile Arsenyo ya Asali na Maziwa waliokua wakiisubiri kwa miaka 40 iliyopita na tayari wameshafika nchi ya ahadi hivyo msimu huu lazima Arsenyo itabeba treble[emoji3][emoji3][emoji3]
Mashabiki waliokua na wasiwasi juu uwezo ya timu yao kubeba Uefa Masingeli akawahakikishia kua hakuna kombe rahisi duniani kubeba kama hilo kombe la Uefa, tena akawatolea mfano wa Madrid ni timu mbovu ambayo haifikii hata robo ya ubora wa timu ya Arsenyo lakini wana Uefa 14[emoji16][emoji16][emoji16]
Msimu huu waliodanganyana wanabeba treble wanamaliza pia mikono mitupu halafu utawasikia kina mkorea na arsenal2004 wanawajaza ujinga wenzao kua wanapaswa wajivunie timu yao maana ndio timu yenye GD kubwa kuliko timu yoyote duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2971699
Energy unayotumia kuandika kuhusu sisi[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119].Kweli hiari yashinda utumwa.
 
Hapo wewe umeingia fainali ya FA kwa kudra za VAR check ya mchongo. Mara paap, umembahatisha Kipara ukabeba kombe la FA...

Sijui hili jukwaa litakuwaje ikitokea hivyo...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sekyuriti gadi kipindi hiki ni sawa tunakula mishahara ya bure tu, maana uhalifu umepungua sana, tunajikuta muda mwingi hatuna kazi ya kufanya kwenye lindo zaidi ya kutumia Wi-Fi ya bure kucomments humu kwenye jukwaa la comedy.
Ila Mkuu kama hua unakereka na comments zangu kwenye simu yako kuna option ya Ignore, ukiniweka kwenye ignore list itakusaidia sana kuepukana kusoma comments zisizo kufurahisha na kukuharibia siku yako[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hapo wewe umeingia fainali ya FA kwa kudra za VAR check ya mchongo. Mara paap, umembahatisha Kipara ukabeba kombe la FA...

Sijui hili jukwaa litakuwaje ikitokea hivyo...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitakuja kuwafiriji tu humu na kuwasisitiza msikate tamaa na phase 5 inayofata ambayo ndio phase ya makombe[emoji16][emoji16][emoji16]
Kikubwa nilichogundua hili jukwaa bila ya uwepo wa ndugu yangu masingeli hua linapoteza kabisa mvuto.
Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi tuko chini ya miguu yako tunakuomba urudi utupe mchanganuo wa jinsi timu yetu ya Arsenyo itakavyo cheza fainali ya Uefa kwenye uwanja wetu wa nyumbani pale Wembley [emoji23][emoji23][emoji23]
1713776649904.jpg
 
Ndo maana ya ushabiki mkuu. Unatakiwa uchuje, kuna kipindi linazungumzwa ball, kuna kipindi ni ushabiki. Sasa mimi naanzaje kusema Chelsea anatufunga leo?

Leo Cheltako mkong'oto unawahusu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kumbe mnaelewa sema huwa mnachangamsha genge, sio gemu rahis. Mnaongea kama vile mnaenda kucheza na Mtibwa.
 
Na mwenzie Havertz hahahaha....... hao jamaa wana DNA moja. Mmoja mzuri kwnye mipira ya juu, mwingine mipira ya chini. ila ni dugu moja.
Usimfananishe Havertz na hyo mmakonde wenu....kazi kubadili rangi ya nywele kichwani Kila siku
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa Kima kila msimu wanatoka Mikono mitupu halafu kwa aibu wanatafuta vitu visivyo na faida yoyote vya kujivunia navyo, mwaka juzi yamemaliza ligi nafasi ya 5 Masingeli akawadanganya kua kwao nafasi ya 5 haina tofauti yoyote na ubingwa maana wao ndio wanaongoza kwa cleanshit[emoji2][emoji2][emoji2]
Msimu uliosha wameongoza ligi kwa siku 258 halafu kombe wakabeba wengine, Masingeli akawaambia watembee vifua mbele maana timu yao ndio inayoongoza kwa Pressing & Overloading pamoja na Position Interchange[emoji1][emoji1][emoji1]
Msimu huu wakati unaanza Masingeli Akawadanganya tena kua Arsenyo ya msimu huu ndio ile Arsenyo ya Asali na Maziwa waliokua wakiisubiri kwa miaka 40 iliyopita na tayari wameshafika nchi ya ahadi hivyo msimu huu lazima Arsenyo itabeba treble[emoji3][emoji3][emoji3]
Mashabiki waliokua na wasiwasi juu uwezo ya timu yao kubeba Uefa Masingeli akawahakikishia kua hakuna kombe rahisi duniani kubeba kama hilo kombe la Uefa, tena akawatolea mfano wa Madrid ni timu mbovu ambayo haifikii hata robo ya ubora wa timu ya Arsenyo lakini wana Uefa 14[emoji16][emoji16][emoji16]
Msimu huu waliodanganyana wanabeba treble wanamaliza pia mikono mitupu halafu utawasikia kina mkorea na arsenal2004 wanawajaza ujinga wenzao kua wanapaswa wajivunie timu yao maana ndio timu yenye GD kubwa kuliko timu yoyote duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2971699
Arsenal 3 - Chelsea 0

FT
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitakuja kuwafiriji tu humu na kuwasisitiza msikate tamaa na phase 5 inayofata ambayo ndio phase ya makombe[emoji16][emoji16][emoji16]
Kikubwa nilichogundua hili jukwaa bila ya uwepo wa ndugu yangu masingeli hua linapoteza kabisa mvuto.
Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi tuko chini ya miguu yako tunakuomba urudi utupe mchanganuo wa kucheza fainali ya Uefa kwenye uwanja wetu wa nyumbani pale Wembley [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2971758
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usimfananishe Havertz na hyo mmakonde wenu....kazi kubadili rangi ya nywele kichwani Kila siku
Mpaka wewe!!! Masingeli amefenikiwa kukuaminisha Havertz ni chezaji la Ballon D'or hahahaha......
Masingeli sijui kawalisha nini wallah! dah!
 
Naangalia mpira Kila siku na uzuri naangalia wachezaji wte hao wawili... Jackson ni kama mbeba magunia hivi...amezoea shuruba lakini kufanya vitu rahisi kwa wakati sahihi hawezi
Mpaka wewe!!! Masingeli amefenikiwa kukuaminisha Havertz ni chezaji la Ballon D'or hahahaha......
Masingeli sijui kawalisha nini wallah! dah!
a
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli itakua ana Supa nechelo pawa aiseee, haiwezekani mtu na akili zako timamu kabisa lakini ukianza kumsikiliza Masingeli unakua Msukule ghafla.
Nina uhakika Masingeli akifungua kanisa lake la upako atapiga pesa ndefu vibaya mno, we fikiria hawa wafuasi wake wa humu ni wakiume, akipata na wafuasi wa kike hali itakuaje?
Jamaa ni bilionea mtarajiwa kabisaaa.
 
Ila mashabiki wa arsenal hawajakaa kiuanamichezo kabisa, wenzao United ya 7Hag wameingia FAINALI ila hata kutuma salamu za pongeza wamejikausha kimya. Nadhani hii ndio sababu kuu kwanini hamis77 hataki kujitokeza kabisa kwenye jukwaa lolote la michezo, alimnanga sana kipara wetu.

Ule uchezaji wetu usiwababaishe mkajua sie wabovu, kila mtu anacheza anavyojua ilimradi ushindi unapatikana tu.

We are going to Wembley, where will you be?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom