Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Didier Drogba sijui anajisikiaje huko aliko kufananishwa na huyu muuza madafu.Huyu Jackson kenge wamemtoa wapi
Didier Drogba sijui anajisikiaje huko aliko kufananishwa na huyu muuza madafu.Huyu Jackson kenge wamemtoa wapi
Didier Drogba sijui anajisikiaje huko aliko kufananishwa na huyu muuza madafu.

Mimi bado nawadai 2,
haitobadili kipigo.watatueleza walipataje draw kule darajani kwaoKenge wanapoteza muda kimakusudi sasa
Ila Flano inabidi tukupe tuzo ya mpinzani bora , Maana muda wote upo jukwaa la Arsenal Kufunga swalaDidier Drogba sijui anajisikiaje huko aliko kufananishwa na huyu muuza madafu.
Labda tuzo ya mchepukaji Bora, maana kashindwa kukaa kwake🤣😂Ila Flano inabidi tukupe tuzo ya mpinzani bora , Maana muda wote upo jukwaa la Arsenal Kufunga swala
Bado tupo sana humu, ni fedheha kujisifu kuifunga Chelsea hii ya Cappuccino, hawa jamaa ni wa kuruhumiwa tu kwa kweli.sasa si watamfukuza kocha.
wale security guard wamepoteana,watarudi
wiki ijayo vs spurs
mtu anafungwa na timu ya chuo unabishana nae...Hapo wewe umeingia fainali ya FA kwa kudra za VAR check ya mchongo. Mara paap, umembahatisha Kipara ukabeba kombe la FA...
Sijui hili jukwaa litakuwaje ikitokea hivyo...
🤣🤣🤣Hahahahaha tuwapige mkono
Unajiskiaje points zako hazifiki GD ya gunnersBado tupo sana humu, ni fedheha kujisifu kuifunga Chelsea hii ya Cappuccino, hawa jamaa ni wa kuruhumiwa tu kwa kweli.
Ndio maana binafsi hua namkubali sana 7 Hag, yule kocha ana utu na ubinaadamu mkubwa sana ndani mwake, baada ya kuona Cappuccino amekalia kuti kavu aliwaambia vijana wake mnusuruni huyu kocha wa Kihindi, sisi tusiwe sababu ya familia yake kufa njaa baada ya kibarua chake kuota nyasi, halafu siku ya kiama sisi ndio tukahukumia na kuonekana wadhambi mno kwa kushindwa kumsaidia walau kwa points 3 tu ili kuinusuru familia yake ipate kwenda chooni.
😀😀Unajiskiaje points zako hazifiki GD ya gunners