Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,409
- 102,313
oya hizo mbwembwe tulizeni aise, tusije sawazishiwa bure 🤓 🤣Namuona Ozil kwenye miguu ya kai
oya hizo mbwembwe tulizeni aise, tusije sawazishiwa bure 🤓 🤣Namuona Ozil kwenye miguu ya kai
Team yake ya Taifa hapewi namba. Chelsea madalali wengi sana.Huyu Jackson kenge wamemtoa wapi
City walipelekewa moto. Wakajitetea uchovu.The only reason unaiona mbovu ni uwezo wa Arsenal.
Hawa kenge dhidi ya city ilikuaje?
Bado 1Bado 2
Namuona Ozil kwenye miguu ya Kaioya hizo mbwembwe tulizeni aise, tusije sawazishiwa bure [emoji851] [emoji1787]
sasa si watamfukuza kocha.Bado 3
Didier Drogba sijui anajisikiaje huko aliko kufananishwa na huyu muuza madafu.Huyu Jackson kenge wamemtoa wapi
[emoji1]Didier Drogba sijui anajisikiaje huko aliko kufananishwa na huyu muuza madafu.