Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,611
- 21,135
Arsenal bana! when they play badly, they lose. When they play well, they lose. Are they now officially in a crisis!?
Ingawa tumepoteza mechi ya leo lakini naweza kusema ilikuwa ni bahati mbaya, kwani leo angalau tumecheza vizuri sana mpaka pengine dakika 15 za mwisho tofauti na mechi zile za mwanzoni.
Kukosekana kwa maandalizi mazuri ya pamoja pre-season kulitufanya tuanze ligi vibaya mno. Lakini tukiendelea na perfomance kama ya leo angalau naanza kuridisha imani kwamba tunaweza kufanikiwa kufaulu katika top four.
Hakuna kusarenda mpaka dakika ya mwisho.
Ingawa tumepoteza mechi ya leo lakini naweza kusema ilikuwa ni bahati mbaya..........Kukosekana kwa maandalizi mazuri ya pamoja pre-season kulitufanya tuanze ligi vibaya mno. Lakini tukiendelea na perfomance kama ya leo angalau naanza kuridisha imani kwamba tunaweza kufanikiwa kufaulu katika top four.
Hizi sentensi naona zinaanza kuota mzizi hapa jukwaa la michezo......Wanamichezo wa kweli hatuna kauli za namna hii......Michezo ni utani na urafiki na si uadui na matusi(lugha zisizofaa)......Huyu Wacha1 the Shoga yuko wapi na kelele zake.............khee khee khee kheeeeee kheeeee
Hii ni Oktoba mkuu May iko mbali sana, Ligi hii inakamata sura kuanzia February na kumbuka kuna key players watakaomaliza nusu ya pili ya ligi. Bado tuna advantage wachezaji wetu watakuwa fresh dakika za lala salama.Top FOUR?? Acha bana
Manda bana.... haya bana,,,......
Arsenal pia huwa tuna rangi ya njano na nyeusi kama Yanga mkuu..
..View attachment 38230
View attachment 38231
View attachment 38232
Hizi sentensi naona zinaanza kuota mzizi hapa jukwaa la michezo......Wanamichezo wa kweli hatuna kauli za namna hii......Michezo ni utani na urafiki na si uadui na matusi(lugha zisizofaa)......
Ifikie kipindi tuwe wanamichezo wa kweli na kuachana na kauli za namna hii(Wacha1 & co achaneni na lugha zisizofaa wakuu)...
Bala.
Wachezaji hawako motivated kabisa!Ndio uwezo wetu wakuu, tuangalia mechi ijayo tena.
Makosa yako mengi sana ya kiufundi mpaka ambayo sio ya kiufundi lakini ndio uwezo wa mwisho wa kila kitu kwa kocha wetu na wachezaji wetu.
Tuko pamoja tutafika tu.
Nimekusikia Mkuu...........mniwie radhi wana JF mliokwazika........naenda ku-delete ile post............
Hizi sentensi naona zinaanza kuota mzizi hapa jukwaa la michezo......Wanamichezo wa kweli hatuna kauli za namna hii......Michezo ni utani na urafiki na si uadui na matusi(lugha zisizofaa)......
Ifikie kipindi tuwe wanamichezo wa kweli na kuachana na kauli za namna hii(Wacha1 & co achaneni na lugha zisizofaa wakuu)...
Bala.
Ogah said:Huyu Wacha1 the Shoga yuko wapi na kelele zake.............khee khee khee kheeeeee kheeeee
Hizi sentensi naona zinaanza kuota mzizi hapa jukwaa la michezo......Wanamichezo wa kweli hatuna kauli za namna hii......Michezo ni utani na urafiki na si uadui na matusi(lugha zisizofaa)......
Ifikie kipindi tuwe wanamichezo wa kweli na kuachana na kauli za namna hii(Wacha1 & co achaneni na lugha zisizofaa wakuu)...
Bala.
Mkuu Wacha unafiki kauli yangu ipi ambayo imekukwaza and then kwa nini uniambie hivyo leo ..... ... can you quote me what is not appropriate.