mfarisayo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 5,160
- 2,004
Hongereni ninyi chama tawala C.C.M
Poleni ninyi CUF kwa kupata idadi ya kura/points sawa na namba za malapa
Hongereni ninyi chama tawala C.C.M
Ni kweli nilienda ICU lakini sikupata nafasi ya kulazwa kwa kuwa nafasi zimejaa na wewe umelazwa muda mrefu na hakuna matumaini ya kuruhusiwa hivi karibuni so ikabidi nipone tu kigumu na ninaendelea kutoa dozi kwa wengine
Mkuu hakuna neno labda watu hawaelewi kwa nini Manure ni timu ya mashoga ukweli huu hapa chini everybody knows ..... .... .... sasa labda tufiche ukweli ulio wazi ambao ulishuhudiwa na umati wa watazamaji hakuna udaku hapo wala nini. Ogah ameniambia mimi ni shoga chacha chijui kama kajibu au la lakini kama unavyojua nitasema ukweli daima fitna kwangu ni mwiko.
![]()
Ugly moment: Gary Neville finds his ideal partner
in Paul Scholes
Mkuu usipate tabu sana na hawa wanaoshadidia mashoga ni nguvu ya soda tu EPL bado ndefu sana hata halftime bado hatujafika.
Mkuu chacha mimi sijachema kwa member yoyote wa JF kwamba yeye ni shoga au kumwita yeyote shoga hapa forum .... .... bali ni facts tu, wako mashoga wanaonekana pale uwanjani hadharani nina haki ya kuwaita mashoga.
Mapito tu mkuu,hatuna chetu tena katika EPL this year,but for every single game ahead of us we will try as hard as possible to gain maximum points.Nakutafuta weye na MBU....uchaguzi umeisha..njooni tujenge jukwaa letu apa la michezo..no xcuz.
Mapito tu mkuu,hatuna chetu tena katika EPL this year,but for every single game ahead of us we will try as hard as possible to gain maximum points.
ICU mnakwenda nyie mashabiki bandia mnaoshadidia mashoga mimi nipo hapa Live kama kawa hata siku moja huwezi kutoniona hapa wewe na wanazi wenzio baada ya kuwa stoked uliadimika hiyo ndio maana halisi ya ICU kwa hapa hata mashabiki wako wengine hawajarejea khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee msimu bado mrefu sana huu wala usiwe na shaka tutapiga mahesabu kabla ya Olympics khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hivi ni kwa ni Wenger hamchezeshi Ju Young Park na badala yake anawang'ang'ani akina Chamakh na Arshavin???
Huwa najiuliza swali hilo hilo mkuu. Jamaa huwa anashindwa kujaribu mbinu au wachezaji wengine anapoona ka kwama. Yeye anataka kulazimisha tu njia hile hile kila siku .
It's called insanity, doing the same thing over and over again and expecting different results. That's all you get from a Nutty Professor, huo ndio mwisho wake wa kufikiri.
aaahhh Mdanandaaa!!!Ungekuwa na uwezo wa japo 1% ya achivement ya prof usingekuwa unapiga tarumbeta JF khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
aaahhh Mdanandaaa!!!
kwekwekwekwekwekweweeeeeeeeeeeeeeeeee
Mie kiswahili changu cha kuunga unga umenitoa knockout ndio una maana gani?
Numbers don't lie.
![]()
Lipia kwanza hakuna elimu ya bure siku hizi
Huo ni uzembe kwa klabu.Mikel Arteta has said he did not undergo a medical before completing his move from Everton to Arsenal on transfer deadline day. Full Story
Mikel Arteta has said he did not undergo a medical before completing his move from Everton to Arsenal on transfer deadline day. Full Story