Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,493
- 235,182
Ngoma ya watoto haikeshi [emoji23]
Nkamu Ina maana ulikuwa serious kushabikia arse8 timu ambayo hainaga makombe[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja niendelee kushabikia utopolo tu
Kila msimu mnarekebisha tuMambo kadhaa ya kurekebisha ila game haikuwa mbaya.
Poleni gunners ila tuwe na matumaini Arteta atarekebisha mambo machache
Madrid unamjua unamsikia?[emoji23][emoji23]Japo Bayern katutoa ila kwa namna wanacheza, inabidi wasali sana Madrid apite. City hii ya kina Haaland itakwenda kuwapa kichapo cha mbwa koko hasa. Arsenal ni kama hatukua serious kupambana kupata ushindi, we were too scared to make reasonable attacks. All in all we have learned the hard way. Let us meet next season once again.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Man Utd tunakula kwa jasho huku ndugu zetu Arsemwali wao hua wanazaa kwa uchungu kila mwisho wa msimu.unapigwa comeback na wa watotoo wadogo... wewe ata europa huendi next season. .. mzee walter white hawapeleki nchi ya ahadi
Atalanta matokeo yalikuajeUEFA siyo ya timu ndogo kama arse8
Kweli kabisa. Nyie mpo hapo si kwa nguvu zenu wenyewe, bali...Ten hag 2 years 3 finals
Arteta 4 years 0......????
the worst team with the worst coach and the worst playing style got silverware against the most complete quality team
sometimes lucky matters the most in these certain criterias if you want to gain achievements
God is with us all the time... all the time god is good
And that's the Nature you need to have
Basi, jiandae kwa meseji na simu za sorry sorry kwa wingi kutoka kwa dear X😍😍😍 huo unyama wa moto nikipiga na mino awwww lazima ex wangu aombe kurudi 🤣🤣🤣🤣
Ten hag 2 years 3 finals
Arteta 4 years 0......????
the worst team with the worst coach and the worst playing style got silverware against the most complete quality team
sometimes lucky matters the most in these certain criterias if you want to gain achievements
God is with us all the time... all the time god is good
And that's the Nature you need to have
TulifungwaAtalanta matokeo yalikuaje
Tukisema hii timu siyo ya makombe muwe mnatuelewa😂😂😂
Nipo humu hata kabla mechi ya Liver haijaanzaLeo umeibuka baada ya kubahatisha ushindi pale craven cottage [emoji1783][emoji1783]....bdo zingine za ugenini tunawaombea dua ya kunguni
Kisinia cha biriani na hiko kikombe cha kahawa vina tofauti gani🤠🤠...carling cup ilitakiwa waweke ziwe zinacheza timu zinazoshika nafasi ya 10 kushuka chini unazichanganya na timu za championship hukoUkimkuta Masingeli anavyoiponda manyumbu United yenye carabao Cup msimu jana,[emoji23]
Unaweza dhani timu yake ya maana sana
Kumbe haina kikombe chochote zaidi ya kisinia cha biriyani cha miaka hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tangu mwaka 2019,ukitoa Hilo biriyani,una kombe gani la maana?Kisinia cha biriani na hiko kikombe cha kahawa vina tofauti gani🤠🤠...carling cup ilitakiwa waweke ziwe zinacheza timu zinazoshika nafasi ya 10 kushuka chini unazichanganya na timu za championship huko