Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

20240420_190644.jpg
 
Ni rahisi ukaomba kazi utumishi ukapata kuliko City kupoteza nafasi akishakuacha points.

Tuendelee kucheza kwa reference siyo kwa ajili ya ubingwa.

Tuchel alighairi kombe la bundes liga ikiwa imebaki michezo 8.
 
Motivational speaker mzee wa kuwapigia hesabu za Ubilionea wa kilimo cha Matikiti Maji bado hajafika?
Ndugu yangu Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi Arsenyo jana tumeshinda na tunaongoza ligi, hebu kuja pande hizi utupigie hesabu za Matikiti Maji utuonyeshe jinsi Arsenyau tunavyobeba Epl kwenye hizi mechi 5 zilizobaki

1713646550087.jpg
 
View attachment 2969825
Atakayetoka salama hapo kweli aitwe mwamba. Kila mmoja hapo atapigwa.
 
Atakayetoka salama hapo kweli aitwe mwamba. Kila mmoja hapo atapigwa.
Umekuwa mgeni na asenali tena?😂😂😂....

Endelea kuamini ikuaminishe maumivu😂😂😂😂

Hii n timu ya kufurahia matukio mengi yasihusisha kubeba ndoo😂

Yaan suala la kombe piga chini aiseee labda itokee tu kama muujiza au siti ipokonywe kombe na fifa😂😂😂...

Enewei n maamuz yako ila kwa ratiba ilivyo asenali ukiamini itakushangaza na utabaki unasonya tu😂😂😂😂
 
Kuna wachezaji ni kama wameshuka viwango kwa sasa. Sijui ndo uchovu wa ligi ndefu ama vipi?
Trossard, Martinelli, Jesus, Saka na Saliba. Binafsi hawa naona kama pumzi imekata wamekuwa sio wa moto vile tumewazoea.

Wasipobadilika, tutateseka sana na ushindi.
 
Saka na Saliba hawana back up za kueleweka
Hata Rice kachoka
 
Ligi ya uingereza ina kaufala fulani hivi....Aston Villa wiki ilopita katukamia....leo mpk saahii tyri watu washamuweka...
 
Broo ukitaka kumaliza huu msimu bila ya kupata depression acha kabisa kufikiria kuhusu kombe la Pl, jumanne mko na Chelsea mnafikiri atawaacha salama? Halafu kuna Spurs na Utd zote mnacheza ugenini. View attachment 2969515
Wewe nyumbu unacheza na timu daraja la saba unaongoza tatu zinarudi .. Jitafakari wewe na tenhug kwanza
 
Back
Top Bottom