Tangu mwaka 2019,ukitoa Hilo biriyani,una kombe gani la maana?
Wenzio tuna UEFA ambayo wewe umetolewa nje na timu uliyokuwa unaiita mbovu😂
Na ushukuru,ungekutana na real Madrid angekufanyia mauaji ya kimbarii
Nasema uongo ndugu wajumbe?🤣🤣🤣🤣
Sisi tuna EPL ambayo wewe tangu 2004 last born wangu amezaliwa,na sasa kqgraduate chuo, arse8 hajagusa 🤣.
Tuna FA msimu juzi ambayo kwako ni historia.
Tuna Carabao msimu juzi na msimu leo ya moto motooo,unayooita kikombe cha chai ila bado kahawa yenyewe imekupiga chini hujainywa😆.
Hadi sasa timu ipo mikono mitupu haina kombe lolote na haeleweki hatma yake .. aluta continua tunaendelea tulipoishia Makombeless FC 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ramsdale ameona isiwe noma
Mshkaji kaamua kupiga fanta orange kisabato,no way maana asipokaa sawa hata fanta orange itampita babeki😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌