Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,870
- 16,425
Sawa mkuu chonga ngenga....sisi hyuhyu anatutosha...Bayern wametutoa kwa ajili ya uzoefu wao tu...leo tumeshinda...wacha tuone na ndugu zetu Livakuku kesho watafanya nn


Broo ukitaka kumaliza huu msimu bila ya kupata depression acha kabisa kufikiria kuhusu kombe la Pl, jumanne mko na Chelsea mnafikiri atawaacha salama? Halafu kuna Spurs na Utd zote mnacheza ugenini.

ukojoe Kwa nyuma
