Hichi kijiti ni cha UNGA LTD kabisa.Kenge tutakuja kupiga tuue.
Hakuna Kenge anaetamani kesho ifike mapema
Tunamuombea apone tuone mpira mzuri...bila yle dogo leo hii mngekuwa wa 17 aisee🤠🤠Naona mmeamua kumloga Palmer wetu sasa hv anaumwa, ila dawa yenu iko pale pale
Tunatunza hii risitiHichi kijiti ni cha UNGA LTD kabisa.
Kesho kipigo kipo pale paleTunamuombea apone tuone mpira mzuri...bila yle dogo leo hii mngekuwa wa 17 aisee🤠🤠
Dah! na huyu jamaa anajua sana kutengeneza story kuhusu arsenane yake, ukiwa mjinga unajaa vizuri tu na point zake 3 anabeba.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli hana tofauti yoyote na wanasiasa wetu wa bongo wakiwa kwenye kampeni za uchaguzi. View attachment 2970869
hakuna ulozi wala niniNaona mmeamua kumloga Palmer wetu sasa hv anaumwa, ila dawa yenu iko pale pale
Kama upepo unakata mbona mnataka tuwauzie, Havertz tuliwapa kwasababu ndo alifikia mwisho wake c unaona huko alipo mnamsifia dkk 2 then dkk 88 mnamponda.hakuna ulozi wala nini
upepo wake ndo unakata kinamna hivi.kama vipi tuuzieni kama harvetz
ni kwamba tu fans hawanaga shukrani nawanajisahau harakaKama upepo unakata mbona mnataka tuwauzie, Havertz tuliwapa kwasababu ndo alifikia mwisho wake c unaona huko alipo mnamsifia dkk 2 then dkk 88 mnamponda.
Ila arteta watakuwa wanamuonea mana jamaa kawatoa mbali mno, bila yeye mngekuwa mnagombania nafasi na Evertonni kwamba tu fans hawanaga shukrani nawanajisahau haraka
hawakumbuki jamaa alipotoka ni wapi na sasa perfomance yake kwasasa
ipoje.
huoni hata sasa kuna wanoko wanamponda arteta
kabisa asee.tatizo ni hawa wanaojiita wana arsenal kumbe ni man uIla arteta watakuwa wanamuonea mana jamaa kawatoa mbali mno, bila yeye mngekuwa mnagombania nafasi na Everton
Kwa timu ipi....hii Chelsea mnayoilalamikia Kila siku au nyingine😂😂😂...tunataka Palmer awepo Ili tukiwafilimba kesho msilete visababu kwmba hyo msukule wenu hakuwepoKesho kipigo kipo pale pale
Somaa hiyooo.unapigwa comeback na wa watotoo wadogo... wewe ata europa huendi next season. .. mzee walter white hawapeleki nchi ya ahadi
Ametupia ukoGame inaoneshwa @arsenal.com na kwenye official app View attachment 2971294
Kafunga goli sana.. timber ana kitu tutafika nae mbaliiPastor Timber yupo kwenye kikosi cha U21 dhidi ya u21 wa Blackburn
Soon atarudi kwenye first team squad