Usicheke sana bana, mwenzako sichelewagi kulia 😥😂😂😂😂😂😂
Nilambe block na hapa KENGE wewe.Mimi sina hamu nilipata homa kali kila aliyekuwa ananicheka nilimlamba block 😂😂😂
Ni kama hatupractice shooting kabisa piaHatuwezi kwenda mbali kwa jinsi tunavyo tengeneza attacks. Lazima tuwe na option zaidi ya moja
Shindwaa.!!All EPL teams could be out today
Unajua yan sielewag timu yngu tunakujaga kufeli wapi aloo acha kabisa naumia mpaka inabidi nicheke tuUsicheke sana bana, mwenzako sichelewagi kulia 😥
Kwendraaa huko,All EPL teams could be out today
Usijilinganishe na Guardiola angalia statistics hapa hata akitolewa anaonekana amekufa kiume sio wewe umekufa kike.All EPL teams could be out today
😆😆😆😆😆Erythrocyte njoo uone kocha wenu wa mchongo Arteta anavyobugia kichapo toka kwa the bavarians.
Ametepeta kila idara, yaani ni vilio tu pande zote