Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Akitokea mtu akakuambia kwanza timu yenu haina world class players ndiyo maana CL mmetolewa.

Kwa EPL ni timu mbili tu zilikua robo fainali sisi na site. Hawa site wana shabiki mmoja tu mtuliza maumivu wanaume wote wa Bom Bom kijiwe samli. So huyu anayeandika hivi timu yake yenye wolrd class players iko wapi?

Nafasi ya 10? Europa au conference league? Hii timu yake yenye world class players haijatufunga msimu huu, watakuja wengi wengi.

Wasubiri
 
Uzi wa Yanga una viewers wengi kuliko wa Site.

Yule mbuzi wao siyo wa kumpa airtime pia
Screenshot_2024-04-19-08-27-04-347_com.android.chrome.jpg
 
Mambo yamekuwa magumu ila ni wakati wa Arteta kuonyesha kukua kiakili na kisaikolojia. Uzuri wake jamaa ameonyesha kuwa mtu wa kujifunza na kurekebisha mambo msimu kwa msimu. Tuendelee kutumaini maana kiukweli amefanya kazi ngumu na nzuri mpaka hapa. Hata sisi #Atretaout tunamtetea na kumuombea mema tu.
 
kwani kuna mshika bunduki anayemponda mkuu
nimegundua wanaomponda,wakilia artetaout ni timu zingine
 
Si amini kama na msimu huu mnatoka mikono mitupu. Pamoja na kuwa kwenye Pick form lakini makombe yote mnaziacha ivi ivi hapana aisee. Fanyeni juu chini mchukue ipielo lasivyo hamtakuwa na utofauti na burnley anaeshuka daraja
Kwamimi sioni maajabu hata wakitoka mikono mitupu. Kujenga timu ya ushindani kwa muda mrefu sio jambo dogo. Wakiongeza wachezaji msimu ujao tutashindana. Wakishindwa tena mwakani!? Kutakua na shida
 
Back
Top Bottom