Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

rice saka odegard hawa ni worldclass players walio baki hawawezi ingia squad ya Madrid wala city
Hivi wodi klass mnaichukuliaje aiseee, wedi klasi ni wakina kroos,kdb,salah,kane,....binafsi natambua wediklasi kama ubora dhahiri katka kuleta matokeo yenye tija pasipo kushindwa kuwa na udumifu
Pale asenali labda odegaard tu japo nae kuna kipindi alipoteana na arteta akawa anampumzisha,saka kuna umahiri anakosa labda n kwakuwa hapumzishwi na ilikuendelea kuyakuza makali yake.

Leo hii kikosi kimekosa mtu wa kuibeba timu mabegani kwenye nyakati nzito kutokana na uhalisia.
 
CL sio mchezo ......sio makalio kabisa

Bila kuwa na experience hamtakuja kuchukua .... experience unaipata Kwa kupigwa kama hivo ....Bila kukata tamaaa

Kiufupi Ni kuwa kuna siku mtafika hadi final ya CL na mtapigwa ,hili kombe mpaka ulie Kwanza ndio utalipata ....timu zote zimepitia hio hali

Safari bado Ni ndefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
1000033574.jpg
 
Mnachojua ni kuyafuga hayo, Labda lije shindano la kuyafuga hayo ndio mtashinda kombe lake.
Screenshot_20240324-115801_Chrome.jpg
 
Masingeli anasoma upepo, leo mkishinda Vs Wolves anarudi,, kutupa stats za KAI 😆😆.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu zetu Arsenyau leo mpo uwanjani mnakipiga na Wolves halafu mnajifanya mmesusa kama vile hamna habari.
Kama hamtaki kutuletea prediction na kutuchambulia kosi la leo basi tuchambulieni hata mchicha[emoji16][emoji16][emoji16]

Masingeli tells us Kai Havertz has some similarities with RVP.
Kai ni mzuri kwenye aerial duel, Kai ni mnyumbulifu, Kai ni king of pressing Epl.
Nketiah sio presser Kama Kai ,huwez kutaja wachezaji wanaojua ku press EPL watano ukamuacha Kai havertz.

#Wazee wa kudominate league miaka 10+ consecutively tayari pumzi imekata [emoji23][emoji23][emoji23]
1713620936311.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu zetu Arsenyau leo mpo uwanjani mnakipiga na Wolves halafu mnajifanya mmesusa kama vile hamna habari.
Kama hamtaki kutuletea prediction na kutuchambulia kosi la leo basi tuchambulieni hata mchicha[emoji16][emoji16][emoji16]

Masingeli tells us Kai Havertz has some similarities with RVP.
Kai ni mzuri kwenye aerial duel, Kai ni mnyumbulifu, Kai ni king of pressing Epl.
Nketiah sio presser Kama Kai ,huwez kutaja wachezaji wanaojua ku press EPL watano ukamuacha Kai havertz.

#Wazee wa kudominate league miaka 10+ consecutively tayari pumzi imekata [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2969260
Hawa wahuni Wameamua kususia hiki kijiwe chao
 
Mambo ya kurudi juu kileleni ndiyo haya sasa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi nawaombea mechi yenu ya leo mshinde ili mrudi humu kwenye kijiwe chenu cha kahawa, jukwaa limepoa kama mzinzi aliekaa kwenye benchi la hospitali anasubiria majibu yake ya Ukimwi.
Ila mtaani sasa hivi tunaishi kwa amani sana[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom