whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,192
- 2,550
kuna wale masecurity guard wanasubiri tufanye vibaya ndo wajazane
humu,kuja kupondea wachezaji wetu
humu,kuja kupondea wachezaji wetu
[emoji23] sasa mbona mnajiwahi wakuu mpira bado haujaishakuna wale masecurity guard wanasubiri tufanye vibaya ndo wajazane
humu,kuja kupondea wachezaji wetu
Draw yoyote, muda unaongezwa.Mzee iki Isha 0-0 SI tuna toka??
😂😂😂😂😂😂😂kuna wale masecurity guard wanasubiri tufanye vibaya ndo wajazane
humu,kuja kupondea wachezaji wetu
kuna wale masecurity guard wanasubiri tufanye vibaya ndo wajazane
humu,kuja kupondea wachezaji wetu
Bora trosard ange Anza aiseeIn
Draw yoyote, muda unaongezwa.
Ila ndio tushawekwa chuma moja a striker ndio brother kai 😂
Huyu nae kashalewa goli moja"Mganga wa kai ndio mganga wa ntibazonkiza pale arsenal 😂"
Mchawi leo umechelewa kuingia kilingeni 😂😂😂
Daaah roho inaniuma sana kinachoenda kutokeaMchawi leo umechelewa kuingia kilingeni 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 Mimi ndiomana niliacha ushabiki niliwahi kupasua simu kwa hasira, juzi hapa ndio nimeanza tena…! Huwezi amini ile siku tumefungwa 2 na Aston Villa niliumwaDaaah roho inaniuma sana kinachoenda kutokea
Hizi pimbi zinapigia mahesabu ya ubingwa ,pumbafu sanaTayari huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2966817
Kmmk ile siku nlikasirika sana aisee game nliivalia mpaka jezi mpya yan daah kila mwaka aloo🤣🤣🤣🤣 Mimi ndiomana niliacha ushabiki niliwahi kupasua simu kwa hasira, juzi hapa ndio nimeanza tena…! Huwezi amini ile siku tumefungwa 2 na Aston Villa niliumwa