Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,253
Hujambo ndugu yangu Bwana temboKwenye hili Kocha bado ana cha kujifunza
ππππNi suala la muda tuVilla atapigwa tu, Ni swala la muda
Bado hamjasemaArteta anakuambia kama hii loss moja itatuzuia kuinuka na kupambana then hatukustahili kua mabingwa from the beginning.
Hapa ishu siyo sisi. Ishu ni aliye juu yetu.
Atagrant same favour ya kupoteza game kizembe?
Dafuq did we do?
Bayern nao waseme ok hatupo kwenye ligi tunafocus na CL. Mbona tunarudia same mistakes?
Punda kabisa
KAI ni bingwa wa UEFA wewe anastahili namba hapo arse8, hata asipofunga tayari ana goals lake la uefa ππππTia partey timu ipate utulivu, unato odegaard unaacha jinga KAI.
PUMBAVU KABISA
Huu mzoga ni wa kufukia tuπππMnazika au mnasafirisha?
Yule ni Man U mkuuKuna kenge la arsenali humu lilihama likahamia brighton na likafungua na uzi wa brighton upo humu. Mnachekesha sanaπ€£π€£π€£π€£
Acha tu Arsenal kanifanya nimeamka na homa jirani, wakati unarudi pitia juice uniletee πTunaoteseka ni sisi mashabiki
Basi KAI ni bora kuliko RONALDO de lima kisa tu kainana UEFA na de lima hana uefaKAI ni bingwa wa UEFA wewe anastahili namba hapo arse8, hata asipofunga tayari ana goals lake la uefa ππππ
Nkamu kumbe unashbikia hawa fungu la kukosa gundu FCkuna mtu jana kanicheka mpk nimempa block
Si mlikuwa mnaambiana team yenu haina AbiriaπππHuwezi kuw unasaka matokeo una kai ndani, mchango wake kwenye kusaka magoli na kutengeneza ni mdogo mnoooo..
Leo kipindi cha kwanza angefunga walau 1.
Kwanza kuna cross ilipigwa yaani ule mpira ni kimo chake, hatimae akaruka kama chura.
Kuna mpira yeye ndio alikuwa mbele, hatimae beki akamkuta na kumzuia.
Mipira mingine mpaka naisahau.
Kacheza LCM lakini ni yupo yupo tu kama mfanyakazi hewa , ye ni kuzuia mpira na kupasia kamaliza,
Ngoja nikatizame updates za wayahudi na wa Persians.
Nkamu unanitonesha kidonda naomba yaishe πππNkamu kumbe unashbikia hawa fungu la kukosa gundu FC
Zinchenko" siku ya kwanza nafika mazoezini niliwaambia wachezaji wenzangu wa Arsenal tupambane tushinde kombe la ligi , wote waliniangalia na kuangusha kicheko "
Hakuna mtu alizaliwa kuwa shabiki wa Man cityIla huku raha sana...
Kila mwaka, mwenye uhakika wa ubingwa kwa 96% ni Pain Killer. Mpaka akatengeneza ID nyingine ya Herzog ili awe anajiongelesha kwenye uzi wake lakini bado hakuna vibe kama huku, kwa manyumbu, chelkenge na livakuku.
Livakuku na sisi tukejitahidi sana kupambana na kipara ila inaelekea tutafeli tena. Daah.
Hakun siku nimemkubali KAI ila huwa nawapuuzia wanaomsifia sifia, kuepusha kupigishana kelele na kaa kimya, ila KAI yule hamna kitu mule.Si mlikuwa mnaambiana team yenu haina Abiriaπππ
Timu hainaga kikombe chochote hii zaidi ya lile sinia la biriyani eti community shieldNkamu unanitonesha kidonda naomba yaishe πππ