Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Moja ya penalt mbovu ya diving ya wazi kabisa ni hii ya leo ya bissaka vs elliot hiivi hii VAR kuna muda mbn inakuwa ya kiboya sana
 
Hawa Kenge na manjesta Hawa ni points 6 za Bure kabisa

Mechi yetu ngumu ni away vs Spurs ,hiyo mechi tukishinda Arteta atashangilia sana

| Average expected goals (xG):

Sheffield Utd (1.53) 2-2 (0.44) Chelsea

[@xGPhilosophy]
 
| Average expected goals (xG):

Sheffield Utd (1.53) 2-2 (0.44) Chelsea

[@xGPhilosophy]
Classes. Chelsea kazidiwa karibu every aspect ukiacha possession. Still watu wanakuambia Arsenal ana game ngumu, eti Chelsea na Man Utd.

Hapa mechi ninayoihofia ni moja tu, dhidi ya Spurs. Otherwise, hatutarudia makosa ya msimu uliopita.
 
Vs Spurs aisee, hapa tukishinda hata 1-0 ,game over

Klopp mwenyewe anakuambia manjesta hii ana uhakika 100% itapigwa na Arsenal

Game ngumu ni vS Spurs ,

Astonvilla anakuja Emirates bila Douglas Luiz ,halafu tuna kisasi nae ,
 
Chelsea are shit. United are shit. Klopp's leaving. Spurs aren't in Europe, and City are probably going to get relegated.

Oh, and we're top with 7 to go.

Am I dreaming?
 
Wale Spurs na kale Kampira kao wanakocheza tutawajia na mpqngo mkakati mpk yule Romero na yule forward wao Mbrazil watarusha ngumi🤠🤠...maana wqle huwa wanajifanya wana hasira sana
Vs Spurs aisee, hapa tukishinda hata 1-0 ,game over

Klopp mwenyewe anakuambia manjesta hii ana uhakika 100% itapigwa na Arsenal

Game ngumu ni vS Spurs ,

Astonvilla anakuja Emirates bila Douglas Luiz ,halafu tuna kisasi nae ,
 
Najua Arteta this time atawa address vijana vizuri. Sijui tupewe nini msimu huu but PL title is in our hands right now.

Zimebaki mechi 7 which still ni nyingi, so najua Arteta ata take 1 game at a time. Tujitahidi tushinde mechi nyingi kadri tuwezavyo on our pile coz hakuna guarantee kwamba City na Liverpool hawatopoteza mechi from now on sababu na wao wana game ngumu.

Pep alichoongea is all but truth, anaeongoza ligi ndio favorite, so let's take one game at a time!
 
Kai Havertz on Mikel Arteta:

"He helped me from the first minute I arrived.

He showed me a completely different spectrum of how to play football."
 
Arsenal mkitoka na point 9 Kwa hizi game + game za UEFA basi PL Ni yenu...

Against spurs
Against Chelsea
Against man utd ..

Kudadeki hapa lazima point zidondoke ,kwa kupenda au kutokupenda ....Ni swala la muda tu
hongera kwa kutwaa ubigwa wa ligi kuu England tukutane next season
 
𝐁𝐚𝐲𝐞𝐫𝐧 𝐌𝐮𝐧𝐢𝐜𝐡 𝐭𝐞𝐚𝐦 𝐧𝐞𝐰𝐬 𝐚𝐡𝐞𝐚𝐝 𝐨𝐟 𝐀𝐫𝐬𝐞𝐧𝐚𝐥 𝐔𝐂𝐋 𝐜𝐥𝐚𝐬𝐡:

Matthijs de Ligt and Eric Dier are likely to 𝐒𝐓𝐀𝐑𝐓.

Leroy Sané and Manuel Neuer are 𝐅𝐈𝐓, and Kingsley Coman will be subject to a late decision.
 
Kim Min-jae and Dayot Upamecano failed to impress against Heidenheim and couldn't recommend themselves for the game against Arsenal.

Therefore, Matthijs de Ligt and Eric Dier, who were rested yesterday, are likely to be given preference on Tuesday - unless something unforeseen happens
 
🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY

Arsenal Vs Bayern M ( Pre game Analysis)

✍🏾 UCL.Night inarudi Siku jumanne Pale Arsenal stadium kama inavyojulikana kwa michuano ya Ulaya. Sababu hawahitaji viwanja kuitwa majina Sponsors.

✍🏾 Bayern Wanakuja wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza game Iliyopita Ligi kuu hivyo watahitaji kubounce back kwetu.

✍🏾 Tuchel sio mgeni Sana Kwetu Game set up yake inajulikana anapenda sana kutumia maeneo ya pembeni asa winger na FB kumpa Depth fulani hivi kiuchezaji.

✍🏾 Bayern uwa wanashambulia kwa idadi kubwa Mno ya wachezaji unaweza kuta ata wachezaji 6 au 7.

✍🏾 Maana yake nini Winger wanashambulia kutoka Nje kuingia ndani alafu FB wana overlap.

✍🏾 Lengo lao ni kuoverload Central Area na kupata Mipira kwenye half space kupiga Cross au Mashuti.

✍🏾 Bayern 2-3-5 mara nyingi wapo shape hii au unaweza kuwakuta 2-2-2-3.

✍🏾 Kwa misingi hii endapo mpinzani akiwa Dorminant bila mpira na kucheza Transtion game ni rahisi sana kuwa kamata bayern kwenye counter.

✍🏾 Arsenal Tunaenda Kucheza hii game sio Nyepesi ila tunahitaji utimamu mkubwa sababu tunaenda kucheza na bayern yenye wachezaji wengi wazoefu stage hizi.

✍🏾 Hivyo basi Lazima tuwe na nidhamu nafikiri Approach game Brighton inaweza kutupa kitu pia kwa misingi hii hapa.

✍🏾 Huwezi kumtawala bayern 90minutes totally Controll ila unaweza kumtawala Bayern kwenye matukio yanayo zalisha magoal.

✍🏾 Kwa vile wanatabia kushambulia kwa idadi kubwa basi tunatakiwa kufanya Mid block na Low block ili kuweza kukabiliana na overload yao.

✍🏾 Mbili tuwe imara kiulinzi tuweze kuzuia Mijongea yao asa maeneo ya katikati tunahitaji Central progression.

✍🏾 Tuhakikishe tunalinda Box letu vizuri sababu wana watu kama Kane wanajua kutumia nafasi.

✍🏾 Alafu tuwashambulie kwa kasi hapa tunahitaji "Athleticism" Mtu kama Martinell akiwepo kwanini kwasababu bayern uwa hawapo vizuri defensive shape wakiwa out of possession.

✍🏾 Speed itatupa matukio Mengi muhimu ya kuwashambulia.

✍🏾 Tukiwa na Mpira inatubidi kuhakikishe Tuna overload ili kuua aggressive pressing bayern Pia kumtumia kipa kama Spare Man kwenye kuunda shambulizi.

✍🏾 Vijana inabidi wajitume wawe Fit kimwili na kiakili wasiogope bayern sababu ya majina au ukubwa Club yao.

Naona Arteta akifanya tactical tweak.

Amigos
FB_IMG_1712517968046.jpg
 
Watuletee turuke nao
Kim Min-jae and Dayot Upamecano failed to impress against Heidenheim and couldn't recommend themselves for the game against Arsenal.

Therefore, Matthijs de Ligt and Eric Dier, who were rested yesterday, are likely to be given preference on Tuesday - unless something unforeseen happens
 
First leg aliyetuchomesha kwa spurs ni Jorginho.

Spurs wanafanya high line pressing. Ambayo inasababisha waconcede easily shida ni kwamba wao pia wanaweza kuscore vizuri pia.
Huyu spurs ni mtani wa jadi hakuna namna ataridhika tumfanye jiwe kuelekea ubingwa, yeye na kenge watafosi sana kutuzuia.

Kenge ni wabovu but tulivyocheza nao walikomaa mwanzo mpaka mwisho wa mchezo.

Tusimalize maneno
 
kila nikiona fixture ya Arsenal nasikia raha sana Mungu mkubwa sana
 
Manjesta ni timu mbovu sana ,

Jürgen Klopp:

"Arsenal is a good football team. If they (Man Utd) play like they did today they (Arsenal) will win the game. I am 100% sure of that." @sistoney67
Mind games, atuache
 
unatakiwa uwe unajua sana movement za mpira na kazi za mchezaji uwanjani ili utambue kuwa kwa sasa pale mbele arsenal front three kai ndio mchezaji bora zaidi,bila yeye tungekuwa tuna mbele mbwela
Mie naweza kukuelewa lakini we huwezi nielewa mimi.
Hakuna sehemu nimekosoa movements zake, kwenye movements anajitahidi.

Rudia kusoma tena comment yangu, unaweza rekebisha reply yako kama ukitaka.
 
First leg aliyetuchomesha kwa spurs ni Jorginho.

Spurs wanafanya high line pressing. Ambayo inasababisha waconcede easily shida ni kwamba wao pia wanaweza kuscore vizuri pia.
Huyu spurs ni mtani wa jadi hakuna namna ataridhika tumfanye jiwe kuelekea ubingwa, yeye na kenge watafosi sana kutuzuia.

Kenge ni wabovu but tulivyocheza nao walikomaa mwanzo mpaka mwisho wa mchezo.

Tusimalize maneno
Yes
 
Back
Top Bottom