Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi vitu tusichukulie kiwepesi.

Inakuja timu unaipiga 6 bila mwenzako yupo nayo 1 - 1
 
Sisemi tu kwa kuwa nimesema, that's the physiology of bone growth. So sijui hizo details unazitoa wapi but ninachojua normally mifupa (epiphysial plates) inaunga mtu anapofika miaka 18 so ukuaji kwa urefu una sieze hapo, otherwise kuwe na delay ya bone fusion.
Kwa watu wengi, miaka 18 to 21 growth plates zinakoma. Lakini Physiology hiyo hiyo, inatwambia it is "NOT UNLIKELY" kwa baadhi ya watu, kuendelea kukua.

Details zipo mitandaoni, hapa ni wakati Chelsea wanaandika kuhusiana na usajili wake kwenye official website yao, mwaka 2020 akiwa na 21y


Hapa 2024, official website ya EPL




So ni jambo linalojulikana kwamba Kai, amerefuka takribani 6cm tangu alipotoka Ujerumani mpaka sasa hivi.
Screenshot_20240407-195825_Chrome.jpg
Screenshot_20240407-200109_Chrome.jpg
 
Mashabiki ya Manyumbu yametupiga mkwala sana hapa mtaani. Yanasema na sisi kilichomkita Liver kinatusubiri.

Yanadai, hawamkatazi Liver au Arsenal kubeba ndoo, ila sio kwao
 
Klopp on United-Arsenal:

"If they play like they did today, [Arsenal] win that game. Sorry."
 
Ki

Kifupi ubovu wa kai unafichwa na matokeo ya arsenal.
Kai ana matatizo mengi kuliko mazuri yake.
unatakiwa uwe unajua sana movement za mpira na kazi za mchezaji uwanjani ili utambue kuwa kwa sasa pale mbele arsenal front three kai ndio mchezaji bora zaidi,bila yeye tungekuwa tuna mbele mbwela
 
unatakiwa uwe unajua sana movement za mpira na kazi za mchezaji uwanjani ili utambue kuwa kwa sasa pale mbele arsenal front three kai ndio mchezaji bora zaidi,bila yeye tungekuwa tuna mbele mbwela


Anatakiwa ajue angekuwa CF Jesus tungekuwa tunambwelambwela tu,

Hata mechi tulizopoteza nyingi ni zile ambazo Kai alicheza kama LCM ,
 
Manjesta ni timu mbovu sana ,

Jürgen Klopp:

"Arsenal is a good football team. If they (Man Utd) play like they did today they (Arsenal) will win the game. I am 100% sure of that." @sistoney67
 
Arsenal mkitoka na point 9 Kwa hizi game + game za UEFA basi PL Ni yenu...

Against spurs
Against Chelsea
Against man utd ..

Kudadeki hapa lazima point zidondoke ,kwa kupenda au kutokupenda ....Ni swala la muda tu
 
Arsenal mkitoka na point 9 Kwa hizi game + game za UEFA basi PL Ni yenu...

Against spurs
Against Chelsea
Against man utd ..

Kudadeki hapa lazima point zidondoke ,kwa kupenda au kutokupenda ....Ni swala la muda tu
Nendeni kilingeni kqbisa mkaloge...tukishakutqngulia goli hilo halirudi...case study City na Brighton...hawa wanafanya build up vzuri ila mmoja mchezaji wao bwana Akanji alalamika kabisa kwmba hawa wanacheza mpira wa kihuni🤣🤣..na jana yule kocha wa Brighton akasema si aibu kufungwa na Arsenal maana wanakaba roba za mbao hawa jamaa....sasa nyiny mashabiki maandazi endeleeni na ramli....mechi ngumu ni Spurs...hawa mafala tukiwabonda...ubingwa muusahau
 
Back
Top Bottom